Jengo la TANESCO Chato, kubwa kuliko la Wilaya Temeke lenye wateja milioni na nusu

Usitufanye watanzania wajinga.
Huu ni wizi wa mchana wa rasilmali za nchi.
Waziri mkuu yuko huko , hebu mwiteni aweke jiwe la msingi na tuone atakavyo mung'unya maneno kwa wizi huu.
Chuki zenu tu hakuna upigaji wowote ulioganyika wakati wa magu lbd wahuni hawakupata nafasi leo ndiyo wapata kusema. tumemsikia zungu wa nini sijui, akisema magu ni mwongo miaka yote yupo kapata nakauwaziri lkn hakushauri umuhimu wa mradi wa bagamoyo,mkijaza wahuni dizaini hii kwenye kada ya uongozi maendeleo msahau.
 
1.5trln aliyichota Magu haijapata maelezo kiserikali.
Mtaalam aliyehoji hizo fedha CAG, alitimuliwa kazi.
Kama si wizi tuambie.
Ajabu hata bunge la Ndugai bado liko kimya.
 
View attachment 1944399

Jengo la TANESCO Chato, wilaya yenye wakazi 28,000 tu, ni kubwa kubwa kupitiliza.

Wilaya ya Temeke ina wakazi milioni moja na nusu, lakini hakuna jengo la kutisha na huduma inaendelea.

Hizo ndio zilikuwa sera za upendeleo maalum Chato, alizoanzishwa na Mwendazake na henchman Kalemani.

Kwa hili kwa kweli Kalemani ashitakiwe kwa uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya madaraka.
Wakati geita tanesco hawana Jengo sana sana kazi yao kuhamahama kwenye nyumba za watu.
 
Mmh waafrica tunashida kweli hivi kua na maofisi mazuri,mahospitali makubwa n.k Kuna tegemea idadi ya watu wanaopatikana eneo husika?
Acha ushamba wewe.
Unafikiri unaongea na vibaka wa pesa za umma wenzio.
Chato mkijenga SGR kwa pesa zenu, Airport ya Kimatsifa kwa pesa zenu, hospitali ya kimataifa kwa pesa zenu au hata hoteli za kimatsifa kwa pesa zenu watu 28,000 wa kamji ka Chato, hakuna atakayelalamika.

Lakini mwendazake kabambika watu makodi zulumat au kuwaibia wananchi ili azipeleke kujenga kwenu Chato.
Huo ni wizi wa kumfikisha mtu mahakamani.
 
View attachment 1944399

Jengo la TANESCO Chato, wilaya yenye wakazi 28,000 tu, ni kubwa kubwa kupitiliza.

Wilaya ya Temeke ina wakazi milioni moja na nusu, lakini hakuna jengo la kutisha na huduma inaendelea.

Hizo ndio zilikuwa sera za upendeleo maalum Chato, alizoanzishwa na Mwendazake na henchman Kalemani.

Kwa hili kwa kweli Kalemani ashitakiwe kwa uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya madaraka.

YALIYOJIRI
Waziri Mkuu amekataa kupokea jengo la TANESCO huko Kyerwa, Kagera.
Waziri Mkuu kwa maslahi ya Tsifa tembelea jengo la Chato.
Chato unaweza kuwa Mkoa Mpya na tusubiri October 14,2021
 
Tatizo la mleta post kuishi Dar na kudhani Dar es Salaam kila kitu kijengwe huko, Magufuli amefungua nchi hata Dodoma watu walitaka wssihamie,
Magifuli tutakukumbuka
 
Tatizo la mleta post kuishi Dar na kudhani Dar es Salaam kila kitu kijengwe huko, Magufuli amefungua nchi hata Dodoma watu walitaka wssihamie,
Magifuli tutakukumbuka
Ukiwa na Rais masikini, mwenye roho ya uchoyo kama tabia, haya ndiyo tunashuhudia kwa mshangao!
Sasa mleta posti, tuambie kwa nini Mkapa hakufanya kujipendelea kijiji chake Lupaso Masasi.
Masasi kuna sehemu nzuri tu ya kujenga uwanja a ndege wa kimataifa, TANESCO jengo kubwa, Hospitali ya kimataifa pamoja na hoteli za kimataifa, lakini kwa dhamira ya uzalendo na kiasi hakufanya hivyo.
Kweli Kalemani aliyebaki ashitakiwe kwa matumizi mabaya ya madaraka.
 
Sijawahi kuwaelewa hawa watanzania....mtu akijenga kwao si ni ndani ya Tanzania ambako na wewe kesho na kesho kutwa utaenda kufanya kazi huko au project yako kwa ufanisi.

Sasa hao viongozi mafisadi wanaopiga hela,na kwao bado kubovu ushawahi jiuliza pesa zao wanajenga wapi??
 
Tatizo lenu mliofaidika na wizi huu wa kuaminiwa ni kujiona wajaaanja kupindukia.
Ni kama suala la Good Gorvenance mnaliweka kisogoni.
Ukweli mnaujua kuwa yaliyifanyika ni haramu.
Na Kalemani akichukuliwa na kushitakiwa kama mfano kitaeleweka.
Basil Mramba alishachukuliwa hatua kama hizo, tukifikiri wanasiasa wamejifunza.
 
Back
Top Bottom