Jengo la TANESCO alilobomoa Magufuli, mpaka leo sielewi!

Bashteeeeeeeeeeeeee
Hehe..ukiacha kupumliwa kisogoni ndo utajua kwamba serikalini hakuwawa na mtu aitwaye Bashite, yote na yote, yeyote alomshauri JPM kutuongoza vile sisi watanzania tulimpenda na yeyote afanyaye kinyume ajiandae maana yajayo yanafurahisha.
 
REGACY kama REGACY yaani, lile jitu tulisema lilikuwa jendawazimu watu wakashupaza shingo matokeo yake ndio hayo, likaamua kubomoa kule ili likajenge kwao Mungu si athumani akaingilia kati fasta sasa tunapumua kwa amani kabisa japo miamala inabana
 
Pana mantiki hapa!
 
Kinu cha kuzalisga umeme kutokana na gesi ,42MW pale Ubungo kiko ndani ya mita 100, sijui kwa nini hakikubomolewa!
Yule Mwendazake alikuwa kichaa na alikiri mwenyewe mwaka 2017 akiwa Mkoa wa Mara alipokuwa anamsififia Luhaga Mpina aliyekuwa Waziri wa uvuvi kuwa "nimekuchagua wewe kwa kuwa ni kichaa kama mimi".

Kichaa anaweza kufanya lolote wakati wowote
 
Na hili ndio tatizo kubwa.
Na kwa kweli CCM imetutendea si hski kutuletea kiongozi mwenye mapungufu ambayo hayana tija kwa Taifa.
Hili linaifanya CCM kuwa gulio tu la viongozi wengine wenye matatizo makubwa.
 
Huo ulikuwa ni mzaha tu,walioishika ofisi kuu ya nchi wanaujua alicho maanisha,
 
Mwangosi alikufa wakati wa kikwete, dr Mvungi aliuawa wakati wa kikwete,dr Ulimboka alitekwa na uonekana magwepande wakati wa kikwete! Lakini hawa wapumbavu kila siku wanaongelea Magufuli hawajui kuwa serkali sio mtu mmoja ni system! Na kwa taarifa yao wakati wa Kikwete wamekufa watu wengi sana ukijumuisha matukio ya uchomaji makanisa, mashambulizi ya padri kule zanzibar,na mlipuko wa mabomu kule Arusha! Ila kwa vile wanachuki na Magufuli utawasikia kila mda wakimtaja kana kwamba tawala zingine hazikuwa na matukio!
Akili na macho yako unayatumia vyema.
 
Mpaka leo sielewi kwa nini hili jengo lilibomolewa.

Nimefika hata nchi za nje, barabara inakatiza hadi katikati ya jengo, na jengo hili hata kwa barabara iliyopo Ubungo haijafikia liliko jengo lililobomolewa.

Kama si uhujumu sijui?

Mi nachokoza tu, wataalam tuambieni!
View attachment 1991013
Yule mwehu alikuwa na ubabe wa Kishamba Sana na ulimbukeni wa madaraka!
 
Yule mwehu alikuwa na ubabe wa Kishamba Sana na ulimbukeni wa madaraka!
Haya mambo wananchi hatuwezi kukubali kirahisi kodi zetu zikachezewa.

Hata leo Serikali kupitia wizara husika na itoe tamko la kwa nini jengo lile lilivunjwa, mali ya wananchi.
 
Haya mambo wananchi hatuwezi kukubali kirahisi kodi zetu zikachezewa.

Hata leo Serikali kupitia wizara husika na itoe tamko la kwa nini jengo lile lilivunjwa, mali ya wananchi.
CCM ilielezee hili ama sivyo huko mbele tutspata Rsis atakaye amuru jeshi kupiga mabomu ofisi za wapinzani na wanaompinga.
 
Back
Top Bottom