Jengo la Mahakama ya Kazi (Picha) tufanyeje?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Nimeiona hii picha na kuanza kujiuliza maswali mengi ambayo nashindwa pa kuanzia. Nimebakiwa na moja tu WAFANYEJE AU TUFANYEJE?

mahakama.jpg
 
Mwanakijiji,

Serikali ina uwezo wote wa kifedha, kiutaalamu na resources za kuweza kurekebisha na kuboresha huduma na jengo hilo la mahakama, nafikiri swali ni hili, je hiyo mahakama ina uwezo wa kushughulikia maswala na kesi zinazotokana na ajira au related issues? How competent is this court?

Kitu cha kusaidia hapa sio mahakama wala hilo jengo ni huyo bwana mdogo ambaye nafikiri kwa ku-speculate anaweza kuwa anafatilia kesi yake hapo!!

GM
 
This is just too much!Serikali yetu imesahau the small things they ignore are very detrimental!
Hapo ni mpaka mtu ateleze afariki then watasema ndio wafikirie hatu zakuchukua na uhakika hata baada ya vile vifo vya watoto Tabora ndio sasa wameamka na ndio watachukua hatua madhubuti ya jinsi ghani ya kuadress issues za clubs.
Ukweli ni kwamba ni wazembe and they only wait for accidents ndio wachukue hatua!
 
Like a typical pauper, we are maintaining our governmental abodes poorly while flashing the dignitaries in the ever depreciating overpriced ecologicaly profane if fancy gas-guzzlers!

Picturing a judge embarking from a VX into this sorry excuse for a government building, a judiciary palace nonetheless, fills me with contempt of the despicable squalor, booth mental and physical.
 
This is just too much!Serikali yetu imesahau the small things they ignore are very detrimental!
Hapo ni mpaka mtu ateleze afariki then watasema ndio wafikirie hatu zakuchukua na uhakika hata baada ya vile vifo vya watoto Tabora ndio sasa wameamka na ndio watachukua hatua madhubuti ya jinsi ghani ya kuadress issues za clubs.
Ukweli ni kwamba ni wazembe and they only wait for accidents ndio wachukue hatua!

Ni majengo machache kweli au hamna yanajengwa with provision kwa walemavu. Sijui kama building regulations zetu zina hicho kipengele haswa kwa majengo yanayohusisha matumizi ya umma....Ni swala la kulitazama.
 
Miye namuanglaia huyo jamaa aliyesimama pembeni. Anafikiria nini?

"fanya haraka bwana"
"Huu ni udhalilishaji"
"Sijui kesi yake itaisha lini"

Lakini huyo mlemavu sidhani kama anavitu vingi vya kufikiria isipokuwa hizo ngazi.
"kwanini?" anajisemea akiteremka taratibu one step at a time.
 
Jaribuni kwenda District Land Housing Tribunal ya ARusha ndio utachoka maana ngazi kila mahala!
No wonder walemavu wengi wenye kesi pale huwa wanaapont mtu mwenye power of attorney kuwawakilisha coz hawawezi kwenda mpaka kwenye chamber za kusikiliza kesi!
 
Wahandisi wetu wamegeuka wanasiasa, hawana muda wa kufikiri wakati wanasanifu michoro ya majengo, wao ni pesa na zikiwa nyingi ni kupigania ubunge wawe mawaziri
 
Wahandisi wetu wamegeuka wanasiasa, hawana muda wa kufikiri wakati wanasanifu michoro ya majengo, wao ni pesa na zikiwa nyingi ni kupigania ubunge wawe mawaziri

wahandishi wanatakiwa kudesign vitu at a certain standard au wanafuata specification ya mwenye jengo/nyumba. Je mwenye nyumba ukiingia na kukuta nyumba yako haina choo utamlaumu mbunifu au ulitarajia kuwa nyumba itakuwa designed na choo ndani?
 
Risk Management, Compliance and Accountability!

Mpaka mtu apoteze maisha ndipo mtunza Jengo au mkuu wa Mahakama ataomba pesa za kuziba nyufa na mmomonyoko wa ngazi!
 
Risk Management, Compliance and Accountability!

Mpaka mtu apoteze maisha ndipo mtunza Jengo au mkuu wa Mahakama ataomba pesa za kuziba nyufa na mmomonyoko wa ngazi!

Rev. Kishoka,

Wala haitakuwa kuomba pesa za kukarabati au kuziba nyufa, desturi yetu ni tume kwanza kabla ya yote hayo Mkuu!
 
Rev. Kishoka,

Wala haitakuwa kuomba pesa za kukarabati au kuziba nyufa, desturi yetu ni tume kwanza kabla ya yote hayo Mkuu!

And then pesa zikitoka 10% tu ndiyo inafika kwenye shughuli lengwa, nyingine zote zinaishia kumalizia "projects" za wazee!
 
Lakini kama shughuli zinaendelea kama "kawaida" kuna ulazima gani wa kuweka vikolombwezo ambavyo labda hawalazimishwi kisheria kuviweka? Mtu mwingine akimuona huyo mlemavu anavyoshuka hizo ngazi anachoona ni kuwa ngazi zimetimiza wajibu wake, anything extra would be a luxury and unnecessary.
 
Wahandisi wetu wamegeuka wanasiasa, hawana muda wa kufikiri wakati wanasanifu michoro ya majengo, wao ni pesa na zikiwa nyingi ni kupigania ubunge wawe mawaziri

Haya majengo ni ya miaka mingi kabla haki za walemavu hazijapigiwa kelele na kuwekewa mikakati maalum.Hata hivyo bado wangeweza kuweka provision kuwajali walemavu.Majengo mengi mapya wanajitahidi kuwafikiria pia walemavu kwa kuwawekea ramp au lift n.k.
 
hili ni jibu zuri kweli, sasa inachukua muda gani kuweza kuaccomadate mahitaji ya walemevu? Ina maana hakuna compliance period na suala hilo la accommodation ni suala la uamuzi wa mjenzi mmiliki wa nyumba au jengo?
 
Haya majengo ni ya miaka mingi kabla haki za walemavu hazijapigiwa kelele na kuwekewa mikakati maalum.Hata hivyo bado wangeweza kuweka provision kuwajali walemavu.Majengo mengi mapya wanajitahidi kuwafikiria pia walemavu kwa kuwawekea ramp au lift n.k.

Point nzuri sana hii lakini kwa nchi yetu watataka mpaka mlemavu aingie bungeni ndio atetee vitu kama hivi viwekwe.
 
Nadhani kule Bungeni mambo haya ya majengo yanafuata code of standard. Sidhani kama wale mle wanaweza kufa kwa kukosa pumzi, na kila exits ziko marked na kuna fire alarms system. Sitoshangaa kuwa jengo lile lina meet and surpass international standards.
 
kwa mtu mlemavu ana haki yoyote ya kudai accommodation kwenye majengo yanayotumiwa na vyombo vya serikali? Kwa mfano akienda polisi kutoa taarifa ni rahisi kuingia kwenye jengo la Polisi bila kuhangaika kusiko kwa lazima?
 
Back
Top Bottom