Jengo la Ikulu ya Dodoma Lina Rangi za Chadema

Je tuseme rangi za chama pendwa zimesha tangulia ikulu?

Nadhani hii itakua nzuri sana chadema ikiingia ikulu siku moja.

Rangi nyekundu,blue, na nyeupe zina wakilisha vizuri sana bendera ya chadema.

Je aliye design amefikiria nini hasa?

Najua baada ya kusoma uzi huu itatolewa amri ya kuweka paa la ikulu liwe kijani na kuta ziwe njano maana najua hawapendi mizaha.
View attachment 1468014
.
IMG_20200531_072737_186.jpg

Jr
 
Jamaa kama vile anajiandaa kutawala Tz mpaka kufa. For his security, Yani hapa atakuwa na vyumba kama 50. Rais atalala chumba chochote kati ya ivyo 50 kutokana na atakavyotaka. Leo chumba no 1 kesho no 50 keshokutwa no 30.
Bora atawale Hadi kufa maana kule upinzani sioni wa kutuongoza😏😏
 
Naona umeandika ukiwa katika fikra za chini kabisa. Sio wema kunasibisha kila kitu na vyema. Mambo mengine ni ya kitaifa.
 
Je tuseme rangi za chama pendwa zimesha tangulia ikulu?

Nadhani hii itakua nzuri sana chadema ikiingia ikulu siku moja.

Rangi nyekundu,blue, na nyeupe zina wakilisha vizuri sana bendera ya chadema.

Je aliye design amefikiria nini hasa?

Najua baada ya kusoma uzi huu itatolewa amri ya kuweka paa la ikulu liwe kijani na kuta ziwe njano maana najua hawapendi mizaha.
View attachment 1468014
Kumbe kubwa?

Sent from my LM-Q710(FGN) using JamiiForums mobile app
 
Ikiwa picha hii ni ya itakayokuwa ikulu, kutakuwa na upotezaji mkubwa wa fedha kuanzia kujenga mpaka maintenance. Unless imekusudiwa kuwa iwe ni ofisi za wizara zote na taasisi nyeti za serikali au hata kambi ya jeshi kabisa.

Matumizi mabaya ya fedha.
Ofisi ya makamu wa rais na waziri mkuu zote huwa ikulu.
 
Ikiwa picha hii ni ya itakayokuwa ikulu, kutakuwa na upotezaji mkubwa wa fedha kuanzia kujenga mpaka maintenance. Unless imekusudiwa kuwa iwe ni ofisi za wizara zote na taasisi nyeti za serikali au hata kambi ya jeshi kabisa.

Matumizi mabaya ya fedha.

Je tuseme rangi za chama pendwa zimesha tangulia ikulu?

Nadhani hii itakua nzuri sana chadema ikiingia ikulu siku moja.

Rangi nyekundu,blue, na nyeupe zina wakilisha vizuri sana bendera ya chadema.

Je aliye design amefikiria nini hasa?

Najua baada ya kusoma uzi huu itatolewa amri ya kuweka paa la ikulu liwe kijani na kuta ziwe njano maana najua hawapendi mizaha.
View attachment 1468014
Utadhani hosteli za Magufuli
 
Jamani mie nkadhani 1 ya shule kongwe baada ya ukarabati, khaaaaaaah
 
Back
Top Bottom