Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,144
BODI YA CRB IMESIMAMISHA UJENZI WA JENGO MOJA LILOPO
KARIAKO MTAA WA PEMBA KWA KUJENGWA BILA VIGEZO HALISI
AKiONYESHWA NA MSIMAMIZI WA JENGO HILO AMBAE ALIULIZWA NANI BOSI WAKO AKADAI AMJUI,ALIPOBANWA TUNAONDOKA NA WEWE AKAANZA OOOH NI MUHINDI MMOJA YUKO NDANI KAJIFUNGIA,...ALIPOULIZWA ZAIDI KIJANA YULE AMBAE ALIONEKANA MTANASHATI ALIULIZWA ENGINEER WA HAPA NI YUPI AKAONYESHWA KIJANA MMOJA AMBAE ALIPOULIZWA ELIMU YAKE AKASEMA ALIMALIZA F4 AKAENDA FTC ...DUH,,BAADA YA KUULIZWA MSIMAMIZI NI NANI GAFLA YULE JAMAA ALIEKUWA AKIULIZWA,AKAJITOKEZA NA KUDAI YEYE NDIE MSIMAMIZI,..AKAULIZWA TENA WEWE UMESEMA UMEMALIZA LA NGAPI VILE AKADAI LA SABA......
Jengo hilo ambalo lilionyeshwa kwenye tv likiwa limedondoka gorofa mbili za chini,...na huku ujenzi wenyewe ukisimamiwa na watu ambao awako kwenye viwango kabisa...baada ya hapo barua ililetwa gafla kusimamisha ujenzi huu
Swala halisi majengo mangapi kama haya tumeona yamesimamishwa
baada ya muda yanamalizika,...je si hawa hawa CRB ndio wanatuua baada ya kuruhusu ujenzi holela,..aijulikani wanatumia kigezo gani huku wakiona gorofa 2 zimeshadondoka lakini amini usiamini mi ntakuwa nalifwatilia hili jengo litamalizika kama kawaida
Hii ndio tanzania, je ni majengo mangapi yamejengwa kwa design hii,..ukiona hata wenyewe wanakiri waliletewa hilo dili na watu,..hawa watu wanakaa tu maofisini wakisubiri baadhi ya owner wa majengo kuwaletea sherry maofisini,...kila mwezi matokeo yake jengo limefika gorofa ya nane mnakuja kusema aijajengwa kwa viwango>>>SH$%&** TYPE wote mlihusika mjiuzulu huu ni uhuni
hata hao Crb WAMETOA GO AHEAD akaendele akujenga iweje leo hii mefika gorofa ya nane anapiga kelele,...ina maana akuna uangalizi wakishapewa pesa zao za chakura kwa kuruhusu ujenzi awana tym na majengo matokeo yake watu wanakufa .........
nakupenda nchi yangu tanzania