Jengo la gorofa nane lasimamiwa na aliemaliza darasa la saba

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
BODI YA CRB IMESIMAMISHA UJENZI WA JENGO MOJA LILOPO
KARIAKO MTAA WA PEMBA KWA KUJENGWA BILA VIGEZO HALISI
AKiONYESHWA NA MSIMAMIZI WA JENGO HILO AMBAE ALIULIZWA NANI BOSI WAKO AKADAI AMJUI,ALIPOBANWA TUNAONDOKA NA WEWE AKAANZA OOOH NI MUHINDI MMOJA YUKO NDANI KAJIFUNGIA,...ALIPOULIZWA ZAIDI KIJANA YULE AMBAE ALIONEKANA MTANASHATI ALIULIZWA ENGINEER WA HAPA NI YUPI AKAONYESHWA KIJANA MMOJA AMBAE ALIPOULIZWA ELIMU YAKE AKASEMA ALIMALIZA F4 AKAENDA FTC ...DUH,,BAADA YA KUULIZWA MSIMAMIZI NI NANI GAFLA YULE JAMAA ALIEKUWA AKIULIZWA,AKAJITOKEZA NA KUDAI YEYE NDIE MSIMAMIZI,..AKAULIZWA TENA WEWE UMESEMA UMEMALIZA LA NGAPI VILE AKADAI LA SABA......
Jengo hilo ambalo lilionyeshwa kwenye tv likiwa limedondoka gorofa mbili za chini,...na huku ujenzi wenyewe ukisimamiwa na watu ambao awako kwenye viwango kabisa...baada ya hapo barua ililetwa gafla kusimamisha ujenzi huu

Swala halisi majengo mangapi kama haya tumeona yamesimamishwa
baada ya muda yanamalizika,...je si hawa hawa CRB ndio wanatuua baada ya kuruhusu ujenzi holela,..aijulikani wanatumia kigezo gani huku wakiona gorofa 2 zimeshadondoka lakini amini usiamini mi ntakuwa nalifwatilia hili jengo litamalizika kama kawaida

Hii ndio tanzania, je ni majengo mangapi yamejengwa kwa design hii,..ukiona hata wenyewe wanakiri waliletewa hilo dili na watu,..hawa watu wanakaa tu maofisini wakisubiri baadhi ya owner wa majengo kuwaletea sherry maofisini,...kila mwezi matokeo yake jengo limefika gorofa ya nane mnakuja kusema aijajengwa kwa viwango>>>SH$%&** TYPE wote mlihusika mjiuzulu huu ni uhuni
hata hao Crb WAMETOA GO AHEAD akaendele akujenga iweje leo hii mefika gorofa ya nane anapiga kelele,...ina maana akuna uangalizi wakishapewa pesa zao za chakura kwa kuruhusu ujenzi awana tym na majengo matokeo yake watu wanakufa .........

nakupenda nchi yangu tanzania
 
Dah! nimeiona kwenye TBC kweli wabongo kwa kitu kidogo hatujambo..yule bwana sijui ni mjenzi wa nyumba za udongo(matope)!! yaani std seven?? afu mjengo wenyewe hauna hata Bango lakuonesha kama wamepewa Building Permit...Wanasema tanzania ni zaidi ya uijuavyo..
 
dah! Nimeiona kwenye tbc kweli wabongo kwa kitu kidogo hatujambo..yule bwana sijui ni mjenzi wa nyumba za udongo(matope)!! Yaani std seven?? Afu mjengo wenyewe hauna hata bango lakuonesha kama wamepewa building permit...wanasema tanzania ni zaidi ya uijuavyo..

mkuu kama umesikia vizuri crb wenyewe wamekiri na kushangaa jamaa ana kila permit halali inayotakiwa
swala lililopo hawa jamaa wakikupa permit awana dili na wewe wanachofanya wanapeana kama kamkataba bwana we mi ndio zamu kwako mwezi huu siji niwekee changu mwisho wa mwezi ukiona wameenda ujue jamaa akupita kwao kuwapa chakula
majengo mengi yamejengwa kihuni hapa dar we acha tu uwezi mwacha mtu afike gorofa ya nane umwambie ujenzi mbovu wakati huo kama umeona zile mbili za chini zilidondoka ,....so akuna ufwatiliaji wizi mtupu,uchafu mtupu,,rushwa tupu,ubinafsi umetujaa
bila utu moyoni
 
Duh! hii imepitiliza sasa,

kwa wasiojua huwa wanawabebesha mizigo wahandisi, kumbe majengo mengine wala hawahusiki kabisa.

sasa hiyo ni issue ya mafundi,vipi kuhusu materials zinazotumika kujengea hilo jengo, yana quality kiasi gani?

at a glance BOT towers kuna moja ilijengwa kwa nondo zisizo na viwango kabisa. Project ambayo ni mult-millioni, yenye experties na makampuni makubwa, still floor ya nnes ya tower A, ilikuwa na mushkeri. Baada ya kugundulika walilishughulikia ipasavyo.

Je haya ya kariakoo je , na matishio ya matetemeko ndiyo hayo!

tatizo lingine liko kwa owners huwa hawafuati njia halali
 
sasa hiyo ni issue ya mafundi,vipi kuhusu materials zinazotumika kujengea hilo jengo, yana quality kiasi gani?

ALWAYS CLASS 7
 
Unajua mtu mpaka upewe kibali cha Kujenga Ghorofa kuna mambo mengi yanafanyika ikiwemo mhandisi wa manispaa husika kufika kwenye eneo la tukio na kuona kama kweli panafaa au laa wakat huo ukiwa umeambatanisha vithibitisho vya udongo husika wawezakuhimili au utatitia.
Vilevile kuna kuwa na vikao vya madiwani kupitisha michoro and then mtu kupatiwa permit..Kama huyo bwana alikuwa na docs za halali manake mhandisi wa manispaa anahusika kwa 100%.Toka kudondoka kwa Ghorofa la CHang'ombe village nilidhani wahusika wa wilaya nyinginezo wapo makini ila kwa hili la leo yangekuja kutokea yale yale ya chang'ombe village
 
Mimi nasema kama huyu bwana amelifikisha lile gorofa mpaka ya 8 na elimu yake ...wasimdharau wamempeleke veta hivi ni vichwa vilivyoitaji elimu vikaikosa mungu anawainua mwishon mwishoni ....so huyo mwenye mali kimbizaneni nae ila huyu kijana ningepata namba yake kesho yuko veta
 
Mkuu wewe umesema lkn wengine wanachonga tuu,watz zaidi ya kumpa huyu jamaa elimu zaidi watadidiimisha zaidi,hawa ndo watu wa kupewa zawadi sasa maana ni kichwa hicho...
 
Nimeona TBC hawa jamaa wa CRB wanasensenalize hii issue. Nikweli jamaa hawakufuata taratibu na kanuni, ila sio kweli kuwa huyo Std 7 ndio msimamizi mkuu wa ujenzi, huyo atakuwa ni formen wa vibarua ila ilibidi ajitokeze kwa vile msimamizi halisi hakuwepo pale at that particular time.
 
Mimi nasema kama huyu bwana amelifikisha lile gorofa mpaka ya 8 na elimu yake ...wasimdharau wamempeleke veta hivi ni vichwa vilivyoitaji elimu vikaikosa mungu anawainua mwishon mwishoni ....so huyo mwenye mali kimbizaneni nae ila huyu kijana ningepata namba yake kesho yuko veta
HIlo nalo neno! we need to be positive like this fellow! Maana sometimes vyeti havibebi ujuzi. Huyo jamaa anaweza kuwa class 7 lakini ana uzoefu mzuri kuliko hao wasomi, and I quote ... "experience is a great teacher". Kwa hiyo nahisi kumpeleka VETA ndiyo suluhisho zuri la kumpatia vyeti vya ku-complement ujuzi wake alionao tayari!
 
Msimulike sehemu mmoja tu ambayo Na Uhakika hiyo bodi ya CRB haikuvuta mkwanja ndio maana yameibuka hayo lakini kariakoo almost Nyumba zote zilizojengwa hivi karibuni ni Hatari zaidi ya hatari tusiombe yatoe yaliotoke Chile na haiti Hatabakia Mtu wa Kitu Mungu Apushe mbali Nyumba ya Ghorofa 8 Cha ajabu Ghorofa Nne za Mwanzo ni Godown Kweli nyie CRB mpo kwa ajili ya kuangalia Elimu au Ujenzi?
 
Dah! nimeiona kwenye TBC kweli wabongo kwa kitu kidogo hatujambo..yule bwana sijui ni mjenzi wa nyumba za udongo(matope)!! yaani std seven?? afu mjengo wenyewe hauna hata Bango lakuonesha kama wamepewa Building Permit...Wanasema tanzania ni zaidi ya uijuavyo..

Senator, cha ajabuni nini? Hata Dar es Salaam inatawaliwa na bwana mwenye qualification ya std seven.
 
BODI YA CRB IMESIMAMISHA UJENZI WA JENGO MOJA LILOPO
KARIAKO MTAA WA PEMBA KWA KUJENGWA BILA VIGEZO HALISI
AKiONYESHWA NA MSIMAMIZI WA JENGO HILO AMBAE ALIULIZWA NANI BOSI WAKO AKADAI AMJUI,ALIPOBANWA TUNAONDOKA NA WEWE AKAANZA OOOH NI MUHINDI MMOJA YUKO NDANI KAJIFUNGIA,...ALIPOULIZWA ZAIDI KIJANA YULE AMBAE ALIONEKANA MTANASHATI ALIULIZWA ENGINEER WA HAPA NI YUPI AKAONYESHWA KIJANA MMOJA AMBAE ALIPOULIZWA ELIMU YAKE AKASEMA ALIMALIZA F4 AKAENDA FTC ...DUH,,BAADA YA KUULIZWA MSIMAMIZI NI NANI GAFLA YULE JAMAA ALIEKUWA AKIULIZWA,AKAJITOKEZA NA KUDAI YEYE NDIE MSIMAMIZI,..AKAULIZWA TENA WEWE UMESEMA UMEMALIZA LA NGAPI VILE AKADAI LA SABA......
Jengo hilo ambalo lilionyeshwa kwenye tv likiwa limedondoka gorofa mbili za chini,...na huku ujenzi wenyewe ukisimamiwa na watu ambao awako kwenye viwango kabisa...baada ya hapo barua ililetwa gafla kusimamisha ujenzi huu

Swala halisi majengo mangapi kama haya tumeona yamesimamishwa
baada ya muda yanamalizika,...je si hawa hawa CRB ndio wanatuua baada ya kuruhusu ujenzi holela,..aijulikani wanatumia kigezo gani huku wakiona gorofa 2 zimeshadondoka lakini amini usiamini mi ntakuwa nalifwatilia hili jengo litamalizika kama kawaida

Hii ndio tanzania, je ni majengo mangapi yamejengwa kwa design hii,..ukiona hata wenyewe wanakiri waliletewa hilo dili na watu,..hawa watu wanakaa tu maofisini wakisubiri baadhi ya owner wa majengo kuwaletea sherry maofisini,...kila mwezi matokeo yake jengo limefika gorofa ya nane mnakuja kusema aijajengwa kwa viwango>>>SH$%&** TYPE wote mlihusika mjiuzulu huu ni uhuni
hata hao Crb WAMETOA GO AHEAD akaendele akujenga iweje leo hii mefika gorofa ya nane anapiga kelele,...ina maana akuna uangalizi wakishapewa pesa zao za chakura kwa kuruhusu ujenzi awana tym na majengo matokeo yake watu wanakufa .........

nakupenda nchi yangu tanzania

Tunapenda sana vyepesi vyepesi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom