Jengo la 88 Nairobi ambalo litakuwa na ghorofa 44, zege limeanza kumwagwa kwenye foundation

Kama nyinyi zenu zimebaki mahame usidhani kwamba huku kwetu hazitapata wateja. Usilete laziness yenu kwa Kenya. Sisi ni watu aggresive na hili jengo litajaa. Kwanza hili hata sio office tower. Hili ni residential tower ya watu kuishi. Punguza kiherehere.
Why do you guys even bother answering people like these? The guy is evidently jealous, that's it. When they enjoyed a construction boom a few years back and even constructed the region's tallest structure, alikuwa wapi watanganyika wakisherekea na kufungua nyuzi kila mahali? Now that their boom is over and Kenya is back on its throne visingizio,vijisababu na chuki kibao.
 
1652960423333.png
 
34th floor and Prism still looks taller. By the time they do the final floor, I think it will be just slightly taller than Prism. That floor-to-ceiling height didn't do 88Nairobi justice
Yeah 88 has shorter floors. According to the architectural plan 88 Nairobi will be 150 m tall while prism is 133 m tall, I think. Each floor for 88 is around 2.8 m tall and since there are 10 more floors to go then there are 28 m more to go.
 
Jengo hili ndilo litakuwa tallest residential tower in Africa. Yaani jengo refu zaidi ya makaazi Africa. Kuna watu watakuwa wakiishi kuanzia floor ya chini hadi ya juu kabisa ya 44.

Jengo lenyewe litafanana hivi litakapokamilika


Video ya zege kumwagwa kwenye foundation ndio hii


Ujenzi wa kiduanzi sana
 
Back
Top Bottom