Jengo kuvunja rekodi ya olimpiki-kuchukua muda mrefu kukamilika! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jengo kuvunja rekodi ya olimpiki-kuchukua muda mrefu kukamilika!

Discussion in 'Jamii Photos' started by masopakyindi, Aug 10, 2012.

 1. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,906
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  View attachment 61493
  Jengo lakaribia kukamilika baada ya zaidi ya miaka ishirini.
  Kama kuna spidi ndogo ya kujenga jengo basi hili jengo limevunja rekodi.
  Mtakumbuka hapo chini duka la TEEKAYS kwa suti za hadhi na ule mgahawa pembeni (opposite na Extelcoms).
  Mwenye kumbu kumbu ya jina la huo mgahawa anitonye!
   
 2. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Salamander?
   
 3. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  hapo palikuwa panaitwa magoti kuu zamani hizo!
   
 4. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Salamander ni mtaa mbele kulia kwenye coner
   
 5. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,906
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa Salamander ilikuwa mbele usawa wa barabara inayoelekea Posta ya zamani.
   
 6. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  We Born Town kweli umezaliwa Dar!
  Ila tu Margot ilikuwa hapohapo ilipo Extelcoms, upande wa pili kulikuwa Emms
   
 7. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Mkuu,
  Anayejenga hili jengo kwa miaka 20 ana akili sana. Hapo inawekana babu amjenga kiasi fulani akachia next generation ambayo imeachia this generation wamalizie. Ni strategy nzuri sana ya kustrengthen family wealth.
   
 8. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kwani mmesahau haraaka haraka haina baraka
   
 9. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,906
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha!
  Hii kali sana, no hurry in Africa
   
Loading...