Jengo kubwa hapa Dubai linaungua moto

kamtu33

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
998
409
ImageUploadedByJamiiForums1451588892.303258.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1451588910.684871.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1451588929.750520.jpg

Linaitwa Dubai mall
 
ni balaa, cheki mtafutano watu walikua prepared wakila raha na suti zao..

2FB5943A00000578-3380507-image-a-27_1451587839825.jpg

Kina dada wapo nduki na high heels...hakuna kuvua hizo utachekwa
 
kichwa cha habari ni tofauti na habari yenyewe! hiyo hoteli sio kubwa kuliko zote Dubai.ipo karibu na hoteli kubwa kuliko zote-BURJ KHALIFA
 
kichwa cha habari ni tofauti na habari yenyewe! hiyo hoteli sio kubwa kuliko zote Dubai.ipo karibu na hoteli kubwa kuliko zote-BURJ KHALIFA

Wewe nae umekosea aiseee.....;)
Burj Khalifa ni jengo refu, sio hotel kubwa kuliko zote aiseee
 
kichwa cha habari ni tofauti na habari yenyewe! hiyo hoteli sio kubwa kuliko zote Dubai.ipo karibu na hoteli kubwa kuliko zote-BURJ KHALIFA
Burj khalifa sio hotel kubwa kuliko zote ila ni jengo refu kuliko yote
 
Nasikia mkuu wa zimamoto hapo dubai walimchukua huyu wa tanzania.kama hadi saa hv hawajafika zimamoto basi nishaanza kuamini hizo tetesi....badala ya 2 late kafanya 3 late
 
Back
Top Bottom