Jengo gani ni refu kuliko yote Jijini Dar es Salaam?

nilikuwa sijui kama hili jengo linaweza kuwa LA NNE kwa urefu africa. post yako imenifanya nitafute facts...ni la nne la kwanza ni calton center,ponte city apartment,nitel building then ndio hili Jubilee Tower....lakini nahisi yale twin tower pale karibu na makao makuu ya TRA yatakuwa marefu zaidi.

Hii Wikipedia article ime litaja hili jengo kama la tatu, si la nne kwa urefu Afrika.

Hii article ishakuwa outdated?

http://en.m.wikipedia.org/wiki/List_of_tallest_buildings_in_Africa
 
:)


1609850_207762109418487_1395741215_n.jpg



1653600_10152783270370288_44888199_n.jpg





1619408_212686595592705_1878728059_n.jpg

Mkuu ulitumia chopa kupata picha hizi nini?
 
Bongo Siku Hizi huhitaji chopa kupata taswira Kama Hizi , zimepigwa toka jengo la uhuru heights pale bibi titi Mohamed road

Mkuu picha ni nzuri kiasi cha kudhani chopa inahusika kumbe laa!
 

Ukiwa Mkoani inabidi ikiwa unapata nafasi ni kwenda Dar kutembea vinginevyo unaweza sahau mitaa yaani hizi picha Mkuu miaka ya nyuma tungesema chopa sijui nini.....
:A S thumbs_up:
 
sasa hapo umemsaidia nini? Mi nadhani litakuwa lile linalomaliziwa kujengwa la uvccm pale karibu na fire

Haya endeleeni kumsaidia, katumwa huyo, anatafuta jengo la kulipua, na wote mlio muelekeza hapa nime wa note down kwaajili ya uchunguzi
 
PSPF TOWER imeshaanza kutoa huduma kwa maana ya watu kwenda kupangisha ofisi ?
 
Jengo refu lipo pale sayansi victoria jaman lile ndo mwisho wa maelezo


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Jengo refu lipo pale sayansi victoria jaman lile ndo mwisho wa maelezo


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨

Hahaha utakuwa unatania mkuu, viktoria kuna ghorofa refu kweli? Tan house?Ile apartment? Au bmtl
 
ni jengo ambalo liko sokoine drive , lipo opp na tra hq upande wa baharini, ni reeefu na bado linapanda ujenzi haujaisha bado sidhani kwa dar hii liko lingine kuzidi hilo.
 
Back
Top Bottom