Jengewa nyumba mpya kabisa kwa gharama nafuu kabisa

pettymarcel

JF-Expert Member
Jun 17, 2012
2,161
880
Sisi www.one2onefocus.com ni kampuni inayojihusisha na ujenzi wa nyumba kwa garama nafuu kabisa
Mfano kwa shiling mil 32 tutakujengea nyumba ya Vyumba viwili vyote self, choo cha public, store,jiko Dining, na sebule

Kwa shi 50 tutakujengea Nyumba ya Vyumba vitatu yaan Masta moja vya kawaida 2+choo cha public sebule store jiko la kisasa

Kwa wale ambao hawana viwanja na wanataka nyumba kila kitu kiwe juu yetu
Kwa sh mil 70 utapata nyumba ya kisasa kabisa Nyumba ya room tatu kiwanja ukubwa kuanzia square meta 650 na kuendelea kulingana na eneo

Kwa bajeti hii ya shi Mil 70 tutaweza kukujengea nyumba katika maeneo yafuatayo
Boko,Tegeta,Bunju A na Bunju B, chanika, Mbezi maramba mawil, kigambon viwanja vyetu vina hati tayari sasa wewe utachagua ni wapi ungependa kujengewa

Kwa wakazi wa Mwanza kama na wewe ungependa kujengewa na kampuni na garama za kiwanja ziwe juu yetu basi maeneo yafuatayo waweza kujengewa
Buswelu, nyegezi,Buhongwa, Luchelele kiseke ila kama una kiwanja chako tutakujengea popote

Sisi one2onefocus limited ofisi zetu zipo maeneo yafuatayo
Dar es salaam tupo Makumbusho complex floor ya kwanza
Mwanza tupo Buzuruga Plaza

Kwa Arusha tunapatikana Namvua Complex floor ya nne
Kwa Maelezo zaidi namna ya kupata Huduma zetu popote Tanzania plz
Wasiliana nami kwa 0763772636/0789047874 au waweza nichek WhatsApp kwa 0763772636 Nyumba yako Maisha yako epuka kuibiwa vifaa na mafundi wasio waaminifu njoo tukujengee nyumba ya viwango vya hali ya juu

1f38ff2cc0a98caaa155dc8a3adf47f2.jpg
1eec7afa935ebe0a6007176043e9104b.jpg
368cf2265fb5805d0ab50e5f970d9776.jpg
3842f3cbf08168af5b0aaed2defe27ab.jpg
249f7076480177533dc8e31a61a8a6b7.jpg
17d0bf3d7d75bed48b43ea492d16f02e.jpg
 
Karibun sana tunajenga Tanzania nzima hadi visiwan
Milioni 5 hukosi kiwanja cha kutosha kujenga nyumbani maeneo kama Chanika, Malamba mawili;etc, lakini kwa maelezo yako ina maana kwa kampuni yenu kiwanja tu kitagharimu shilingi milioni 20!
 
Unaweza ukanunua wewe kiwanja sisi tukakujengea tu kwani shida iko wapi boss? Je jiulize hicho kiwanja cha mil 5 kitakuwa na hati? Kitakuwa na ukubwa wa kutosha means kuanzia square meta 700? Kutakuwa na maji umeme? Kunafikika kirahisi? So ukishajijibu haya maswali kanunue kiwanja ukipendacho sisi tukujengee tu
 
Sisi www.one2onefocus.com ni kampuni inayojihusisha na ujenzi wa nyumba kwa garama nafuu kabisa
Mfano kwa shiling mil 32 tutakujengea nyumba ya Vyumba viwili vyote self, choo cha public, store,jiko Dining, na sebule

Kwa shi 50 tutakujengea Nyumba ya Vyumba vitatu yaan Masta moja vya kawaida 2+choo cha public sebule store jiko la kisasa

Kwa wale ambao hawana viwanja na wanataka nyumba kila kitu kiwe juu yetu
Kwa sh mil 70 utapata nyumba ya kisasa kabisa Nyumba ya room tatu kiwanja ukubwa kuanzia square meta 650 na kuendelea kulingana na eneo

Kwa bajeti hii ya shi Mil 70 tutaweza kukujengea nyumba katika maeneo yafuatayo
Boko,Tegeta,Bunju A na Bunju B, chanika, Mbezi maramba mawil, kigambon viwanja vyetu vina hati tayari sasa wewe utachagua ni wapi ungependa kujengewa

Kwa wakazi wa Mwanza kama na wewe ungependa kujengewa na kampuni na garama za kiwanja ziwe juu yetu basi maeneo yafuatayo waweza kujengewa
Buswelu, nyegezi,Buhongwa, Luchelele kiseke ila kama una kiwanja chako tutakujengea popote

Sisi one2onefocus limited ofisi zetu zipo maeneo yafuatayo
Dar es salaam tupo Makumbusho complex floor ya kwanza
Mwanza tupo Buzuruga Plaza

Kwa Arusha tunapatikana Namvua Complex floor ya nne
Kwa Maelezo zaidi namna ya kupata Huduma zetu popote Tanzania plz
Wasiliana nami kwa 0763772636/0789047874 au waweza nichek WhatsApp kwa 0763772636 Nyumba yako Maisha yako epuka kuibiwa vifaa na mafundi wasio waaminifu njoo tukujengee nyumba ya viwango vya hali ya juu

1f38ff2cc0a98caaa155dc8a3adf47f2.jpg
1eec7afa935ebe0a6007176043e9104b.jpg
368cf2265fb5805d0ab50e5f970d9776.jpg
3842f3cbf08168af5b0aaed2defe27ab.jpg
249f7076480177533dc8e31a61a8a6b7.jpg
17d0bf3d7d75bed48b43ea492d16f02e.jpg

Vipi kama nina eneo langu mkuu? Bei inakuw aile ile kama vile mnavyojenga kwenye viwanja vyenu?
 
Unaweza ukanunua wewe kiwanja sisi tukakujengea tu kwani shida iko wapi boss? Je jiulize hicho kiwanja cha mil 5 kitakuwa na hati? Kitakuwa na ukubwa wa kutosha means kuanzia square meta 700? Kutakuwa na maji umeme? Kunafikika kirahisi? So ukishajijibu haya maswali kanunue kiwanja ukipendacho sisi tukujengee tu
Uzuri ni kwamba, wakati nyie mkijitangaza hapa, madalali wa viwanja nao wanajitangaza; na wako very smart wanaeleza na sifa za viwanja vyenyewe. Anyway, tuchukulie kwamba nyie maeneo yenu yana hati: do you mean it costs about 15 M to register a plot?
 
Kwanini tubishane kwa kitu kidogo Nenda kanunue kiwanja sisi tupe kazi ya kujenga tu wewe ukinunua kiwanja ata laki tano hakuna shida cha msingi sisi tukujengee kulingana na Matakwa yako boss
 
Ukiingia kwenye biashara ni muhimu pia kujifunza "communication skills" ili uwe na uwezo wa kutetea kile unachokipeleka kwenye public. Inaonekana umepanic badala ya kunishawishi niwe mteja wako. Kwahiyo unakiri kwamba ni kama mnawaibia wananchi kwa gharama mnazotoza kwenye biashara yenu?
 
Sawa kaka asante kwa elimu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom