Jenga Nyumba Vyumba 3 Zinazotumia BATI CHACHE (~60) na TOFALI Chache (~2000)

nyumbanafuuu

New Member
Joined
Aug 24, 2018
Messages
1
Points
75

nyumbanafuuu

New Member
Joined Aug 24, 2018
1 75
Je, unahitaji kufanikisha ujenzi wa nyumba yako kwa kutumia Bati na Tofali Chache, haraka na uhamie?
 • Tumeandaa design za nyumba za vyumba 3 ambazo zinatumia bati ~2000 na bati ~60
 • lengo ni kwa yule anayehitaji ujenzi wa vifaa vichache uweze nufaika
 • waweza jenga popote Africa, A. Mashariki, Mkoa wowote
 • Kwetu unapata huduma ya ramani, ushauri popote ulipo
 • Unajenga kwa kutumia fundi wako ili uweze kuwa huru kufanya makubaliano; ujenge kwa awamu kidogokidogo kwa unafuu
 • Waweza tumia mafundi partners wetu wazuri ambao wanaweza kukujengea popote pale TZ
 • Kikubwa unachopata kwetu ni MWONGOZO WA RAMANI ZA NYUMBA na USHAURI UNAVYOENDELEA NA UJENZI WAKO
==> +255-657-685-268 WhatsApp/ Piga

nyumba vifaa vichache zaidi.jpg

 • Kwanini Ujenge Nyumba Yenye Kukuchosha na Mzigo Gharama?
 • Je, unahitaji uweze kufanikisha ujenzi haraka na uhamie?
 • Je, unahitaji ujenge kidogo kidogo na vifaa vichache zaidi?
 • Je, unahitaji ujenge nyumba ya kukutosha ila yenye ubora?

Tumekuandalia Ramani za Nyumba Zenye Kuokoa Vifaa kwa ~30%
 • Nyumba za familia, vyumba 2 kawaida na 1 chumba master
 • Vifaa vichache, bati ~60 na tofali ~2000
 • Zinatumia kiwanja kidogo, kuanzia 15x15
 • Jenga upande na uhamie au yote kidogokidogo
 • Jenga popote Africa, E.A au Mikoa yote

Je, aina gani ya msaada unapata kwetu?

1. RAMANI UJENZI - Tumeandaa ramani hizi ili ziweze kukusaidia na kukuongoza ktk ujenzi wako huu
2. USHAURI UJENZI - Utapata ushauri ktk ujenzi wako popote ulipo mkoani, Kenya na Africa yote
3. MAFUNDI CONNECTION - Tunaomafundi partners wazuri ambao wanaweza kujengea popote pale TZ

==> +255-657-685-268 WhatsApp
 
mwengeso

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2014
Messages
6,002
Points
2,000

mwengeso

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2014
6,002 2,000
Fikra na mtazamo chanya wa kimaendeleo.

Nimetembelea "website" yenu naamini vijana wataalamu fani ya ujenzi nyumba watachagamkia fursa hii badala ya kuzunguka na vyeti kutafuta ajira.

Hongera na kila la kheri kuelekea Tanzania mpya.
 
CHIEF WINGIA

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2013
Messages
848
Points
1,000

CHIEF WINGIA

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2013
848 1,000
Hongereni kwa wazo zuri but kwa uzoefu wangu gharama za ujenzi hutegemea zaidi umbali & upatikanaji wa materials kama cements, mchanga, kokoto, nondo, maji n.k.
Mathalani lori moja la mchanga kwa bagamoyo ni bei nafuu lakini ukiletewa kwa site iliyopo goba au madale
bei huongezeka
 
cpt

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2010
Messages
926
Points
500

cpt

JF-Expert Member
Joined May 19, 2010
926 500
Hiyo link ya website yenu mbona siioni mkuu?

Sent from my TECNO CF7 using Tapatalk
 
21 February

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Messages
2,861
Points
2,000

21 February

JF-Expert Member
Joined May 19, 2017
2,861 2,000
Fikra na mtazamo chanya wa kimaendeleo.

Nimetembelea "website" yenu naamini vijana wataalamu fani ya ujenzi nyumba watachagamkia fursa hii badala ya kuzunguka na vyeti kutafuta ajira.

Hongera na kila la kheri kuelekea Tanzania mpya.
hiyo website umeipataje mbona hajaiweka hapa?
 
King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
34,540
Points
2,000

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
34,540 2,000
Je, unahitaji kufanikisha ujenzi wa nyumba yako kwa kutumia Bati na Tofali Chache, haraka na uhamie?
 • Tumeandaa design za nyumba za vyumba 3 ambazo zinatumia bati ~2000 na bati ~60
 • lengo ni kwa yule anayehitaji ujenzi wa vifaa vichache uweze nufaika
 • waweza jenga popote Africa, A. Mashariki, Mkoa wowote
 • Kwetu unapata huduma ya ramani, ushauri moja kwa moja ktk website yetu, mafundi connection
 • Unajenga kwa kutumia fundi wako ili uweze kuwa huru kufanya makubaliano; ujenge kwa awamu kidogokidogo kwa unafuu
 • Kikubwa unachopata kwetu ni MWONGOZO WA RAMANI ZA NYUMBA na USHAURI UNAVYOENDELEA NA UJENZI WAKO

 • Kwanini Ujenge Nyumba Yenye Kukuchosha na Mzigo Gharama?
 • Je, unahitaji uweze kufanikisha ujenzi haraka na uhamie?
 • Je, unahitaji ujenge kidogo kidogo na vifaa vichache zaidi?
 • Je, unahitaji ujenge nyumba ya kukutosha ila yenye ubora?

Tumekuandalia Ramani za Nyumba Zenye Kuokoa Vifaa kwa ~30%
 • Nyumba za familia, vyumba 2 kawaida na 1 chumba master
 • Vifaa vichache, bati ~60 na tofali ~2000
 • Zinatumia kiwanja kidogo, kuanzia 15x15
 • Jenga upande na uhamie au yote kidogokidogo
 • Jenga popote Africa, E.A au Mikoa yote
 • Tunatoa msaada full kupitia mtandao popote

Je, aina gani ya msaada unapata kwetu?

1. RAMANI UJENZI - Tumeandaa ramani hizi ili ziweze kukusaidia na kukuongoza ktk ujenzi wako huu
2. USHAURI UJENZI - Utapata ushauri wa haraka wa ujenzi wako katika website yetu popote ulipo mkoani, Kenya na Africa yote
3. DONDOO MWONGOZO - Utakuwa unapata dondoo na miongozo uweze kufanikisha ujenzi wako vyema
4. VIKOKOTOO UJENZI - Tumekuandalia vikokotoo ujenzi ili ufanye makisio yako vyema ktk process zako za ujenzi
5. MAFUNDI CONNECTION - Tunakuunganisha na mafundi ujenzi waliojisajiri mtandaoni mwetu kwa ujenzi wako
Tupe 3D ya hiyo Sample house ya tofali 2000 na bati 60.
 
Forum statistics

Threads 1,365,668
Members 521,269
Posts 33,352,068
Top