Jenereta; balbu, wire za umeme bandia zakamatwa kontena 6

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,872
21,952
makontena 6 yamekamatwa yakiwa na bidhaa feki za majenereta;balbu;pen za bic;na wire za umeme
akizungumza na mwandishi wa tbc mkurugenzi wa asasi inayofwtilia wanaoingiza vifaa feki amesema alipewa info na watu wenye mapenzi mema ndipo tukaenda pale AMI kwenye kontena na kukuta makontena yamejaa vifaa vibovu ama bandia;baada ya hapo yakaanza kuitwa malori
ambayo yalianza kupakia na kuaminika yanaelekea vingunguti kuharibiwa lakini mimi na wewe wala tbc awakuonyesha kama yalifika huko ama la..
tunawaomba watu hawa wawe makini wakikamata si sehemeu yakutokea maisha yao watu wanakufana wire za wizi ,tumechoka,
swali langu lingine kwa nini kila kitu mnaambiwa nyie mmekaa tu ofisini
hio ndio kazi zenu jamani???zungukeni nendeni kwenye makontena hayo mkihisi wambieni wafungue;tumechoka nasema tumechoka
 
Back
Top Bottom