JENERALI ULIMWENU: CCM sasa yaingiwa woga, yaanzisha utawala wa kikatili kwa wananchi wake

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234


Wadau: Someni makala hii ya Jenerali ambayo ni masterpiece nyingine kutoka kwake. Hakika, tawala zozote dhaifu huwa zinaingia woga na kuanza vitendo vya kikatiki kwa wananchi wake.



Death of a journalist shows how CCM, running scared, is unleashing terror on the people

By JENERALI ULIMWENGU

The shocking killing of a senior journalist last week has underscored the rising level of violence invested in the political process in Tanzania, with the public up in arms at the readiness of the security forces to beat, teargas and shoot people who do not pose any threat to the public peace.

The journalist was killed during another violent altercation between the police and the main opposition party, Chadema, in the southern region of Iringa.

It would appear that Daudi Mwangosi, the regional representative of Channel TEN, a major Dar es Salaam based television station, was on duty on a day when Chadema had decided to go ahead with a political rally in defiance of orders issued by the police.

According to some accounts, Mwangosi attended a press conference on the morning of his death and asked a question that was apparently not appreciated by the police commander fielding questions.

Later, Mwangosi was filming a chaotic scene of police waving clubs and lobbing teargas into the throng of Chadema supporters.

Though not much detail has emerged this far, there is general agreement among eyewitnesses that at some stage during the commotion, Mwangosi was apprehended by the police who proceeded to rough him up before something tore him up, exposing his internal organs and leaving what had been Mwangosi just minutes earlier a heap of carrion flesh.

Pictures of the mangled remains posted on social media were hard to look at, especially the one with that crimson lump in the back of a pickup truck.

This singularly violent and revolting killing has, understandably, fired up emotions. There have been demands for heads to roll. A number of incidents have been cited, including killings in Arusha, Morogoro and Singida.

The media fraternity is up in arms. They reject any suggestion that this could have been an accident occasioned by an overzealous police officer mishandling a teargas canister firing device and letting it explode into Mwangosi at too close range.

They point to the earlier altercation during the press conference and the fact that Mwangosi was in police hands when the horrifying incident happened.

Said the executive secretary of the Media Council of Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga: "They know what they are doing is wrong; it's not because they are ignorant. They just want to do it because somehow it gives them power over other people. With low pay and poor working conditions, this power is some form of compensation."

Others see a political hatchet job, with the police pulling the ruling party's chestnuts out of the fire in an attempt to stop the rapid political ascent of Chadema, which has CCM seriously worried as it stares defeat in the face in 2015.

"Can you not see that these people are running scared at the very real prospect of Chadema winning in the coming general election, and since they have run out of arguments, the only weapon they have is to sow terror?" said another journalist.

Whatever the cause, there is agreement that there is little political control over a police force that is supposed to protect the people and not to kill them.

A retired judge, Thomas Mihayo, who serves on a committee of the MCT, asked, "Why do people have to ask for police permission before they can hold a political rally? Who gives the police such powers, when the constitution clearly states the right to assemble?"

The issue of impunity has been at the centre of the debate in Dar es Salaam and other Tanzanian towns.

A participant in a local television talk show recently observed that when police killed scores of demonstrating civilians in Unguja and Pemba, not a single officer was held responsible, even though that was the first time Tanzania had generated refugees as survivors fled to Mombasa.

"The insensitivity of the government," he added, "was such that former president Benjamin Mkapa, [who in an interview with Tim Sebastian in Davos had insisted, ‘Only seventeen people died'] did not see the need to put off a ceremony to decorate police officers for meritorious service, giving the impression that they were being rewarded for the killings in Unguja and Pemba."

The reaction in the region has been one of startled disbelief. "How can this happen in Tanzania? For heavens' sake, you are not just another country? When did you lose it? What are the rest of us going to do if even you do that to your unarmed people?"

The government has already formed a commission of inquiry, though it is doubtful people will be placated, given the fact that previous inquiries have little to show in terms of results.

Media people, lawyers, human rights activists, clergymen and others, have called for an independent commission that will not be patronised by the government, which is itself in the dock over this issue.
Share This Story

A senior Chadema official and parliamentarian, John Mnyika, told a press conference that there was no need for a commission of inquiry when the primary suspects are known.

"Their faces can be seen clearly in the photographs showing them roughing him up. These men should be the first to be arrested before we even talk of an inquiry."

Calls have been made for the resignation of Saidi Mwema, the Inspector General of Police, who has been publicly described by one media expert as a most surprising man, who "came to his office amid general jubilation, for we saw in him an officer and a gentleman, a cultured and educated officer. It is hard to believe that this trigger-happy police force killing us is serving under Mwema."

The unavoidable parallel is being drawn between police behaviour now and how they behaved under Julius Nyerere.

Said a veteran Dar es Salaam lawyer, "Under Mwalimu, there were extrajudicial killings, no doubt. But they were dealt with firmly either through prosecution and imprisonment, sackings or resignations."

All this is happening at a time when the country is waiting to hear what exactly happened to Dr Stephen Ulimboka, leader of striking doctors, who claims he was abducted at gun point by security agents who beat him up, tortured him and left him for dead in a bush outside Dar es Salaam.

He has claimed that his abductors had asked him over and over whether he was leading the strike at Chadema's behest.

Jenerali Ulimwengu, chairman of the board of the Raia Mwema newspaper, is a political comentator and civil society activist based in Dar es Salaam. E-mail: ulimwengu@jenerali.com



Source: The East African
 
Zak Malang
HIZI sasa zimekuwa propaganda za kuzoeleka kutoka kwa CDM, Tukio la Ulimboka walisema hivyo hivyo kuwa aliyekuwa akimtesa alisisitiza kutaka kujua kama Alitumwa na CHADEMA ili kufanya mgomo, Leo hii tena ULIMWENGU nae anaibuka na kusema kuwa MWANGOSI aliuliza swali ambalo halikuwafurahisha POLISI kabla ya maandamano.
Swali langu ni: Hivi inakuaje watu, vyombo vyote na hata maandamano ya waandishi wa habari kulaani tukio hilo hatukusikia jambo kama hilo kwamba Mwangosi aliuliza swali lililowaudhi POLISI? Hata yote ambayo Generali ulimwengu aliyoyasema hapa ni kama ameamua kurudia hisia za watu, kinachoandikwa kila siku kwenye mindao ya kijamii na wala hakuna jipya. Naona kama huyun jamaa bado ana kinyongo na tuhuma za yeye kutokuwa Raia wa Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Kumnasaje? Mchango wa Generali Ulimwengu kwenye democrasia unajulikana siyo lazima awe CHADEMA.

Huyu siyo raia wa Tanzania, hivyo atafurahi sana kuona nchi ikiingia kwenye machafuko. Haiwezekani yeye peke yake ndo awe na taarifa kuwa MWANGOSI kabla mauti haijamkuta aliuliza swali ambalo halikuwafurahisha Polisi. Pengine sasa anataka tuamini kwamba , kumbe Mwangosi alikuwa na CDM mapema sana tofauti na wandishi wengine?
 
He should stand free from any Political party as he is now, to be flexible to deliver his freedom of expression without being biased to any political party....

Acha kudanganya watu bwana, nani asiyejua GENERALI ULIMWENGU ni CHADEMA?
 

CCM imebakisha JINO MOJA TU, NGUVU ZA DOLA Je kama huyu muhindi na jino moja ...

381353_363443877063460_801895749_n.jpg


 
Huyu siyo raia wa Tanzania, hivyo atafurahi sana kuona nchi ikiingia kwenye machafuko. Haiwezekani yeye peke yake ndo awe na taarifa kuwa MWANGOSI kabla mauti haijamkuta aliuliza swali ambalo halikuwafurahisha Polisi. Pengine sasa anataka tuamini kwamba , kumbe Mwangosi alikuwa na CDM mapema sana tofauti na wandishi wengine?

Mkuu Mamaisara?.. Unaweza kuthibitisha au kujibu haya?

1. Je, unafahamu VIZURI historia ya Jenerali Ulimwengu?

2. Una uhakika gani si raia wa Tanzania?

3. Una uthibitisho?, Kama unavyo kwanini usubiri hadi
sasa?

4. Kama unavyo wewe na Waziri wa Mamvo ya ndani,
Uhamiaji wapo, Je, wana taarifa hiyo?

5. Kama wanayo na ni KWELI wamefanya hatua gani toka
walipogundua hadi sasa?

6. Kama hakuna lililofanyika hauoni ni uzembe wa katika
sehemu fulani?
 
WOGANi chombo kama vilivyo vingine!

Kikikutana na Wataalama (Woga specialist) kinaweza kutumika kama TOOL KIT nyingine kufanya kazi kama anavyosema General!

Tiba? Ni kutompa adui yako Tool Kit hiyo kwa Matumizi ya Kukumaliza ... Is that OK?
 
Mkuu Mamaisara?.. Unaweza kuthibitisha au kujibu haya?

1. Je, unafahamu VIZURI historia ya Jenerali Ulimwengu?

2. Una uhakika gani si raia wa Tanzania?

3. Una uthibitisho?, Kama unavyo kwanini usubiri hadi
sasa?

4. Kama unavyo wewe na Waziri wa Mamvo ya ndani,
Uhamiaji wapo, Je, wana taarifa hiyo?

5. Kama wanayo na ni KWELI wamefanya hatua gani toka
walipogundua hadi sasa?

6. Kama hakuna lililofanyika hauoni ni uzembe wa katika
sehemu fulani?

Mh! we umeanza kufatilia siasa za TZ juzi nini!
Hukumbuki kipindi kile Jenerali ulimwengu alivyolazimishwa na serikali CCM ya Mkapa kuomba uraia upyaa, na kujitangangaza kwa gazetini? Hiyo ilikuwa ni baada ya kuindika vibaya sana ubaya wa serikali ya mkapa? ingawa record za zamani zinaonesha alaishawahi kuwa mtumishi wa serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kwenye nyazifa mbalimbali.

Hukumbuki hata Dr. Remi aliwahi kuambiwa atanyang'anywa uraia kwa kuimba nyimbo za kumsifu mrema? alipoiimba ccm akarudishiwa urahia.CCM haijaanza leo ubabe wa kutishia watu kuhusu uraia, haswa pale unapoipinga sana!

Au kipindi icho ulikuwa under 18?
 
HIZI sasa zimekuwa propaganda za kuzoeleka kutoka kwa CDM, Tukio la Ulimboka walisema hivyo hivyo kuwa aliyekuwa akimtesa alisisitiza kutaka kujua kama Alitumwa na CHADEMA ili kufanya mgomo, Leo hii tena ULIMWENGU nae anaibuka na kusema kuwa MWANGOSI aliuliza swali ambalo halikuwafurahisha POLISI kabla ya maandamano.
Swali langu ni: Hivi inakuaje watu, vyombo vyote na hata maandamano ya waandishi wa habari kulaani tukio hilo hatukusikia jambo kama hilo kwamba Mwangosi aliuliza swali lililowaudhi POLISI? Hata yote ambayo Generali ulimwengu aliyoyasema hapa ni kama ameamua kurudia hisia za watu, kinachoandikwa kila siku kwenye mindao ya kijamii na wala hakuna jipya. Naona kama huyun jamaa bado ana kinyongo na tuhuma za yeye kutokuwa Raia wa Tanzania.

Wewe unaishi dunia gani??!!! anachosema General Ulimwengu ndo ukweli mtupu!!!!!! kwenye ule mkutano wa waandishi wa habari na RPC wa Iringa asubuhi hicho ndicho kilichotokea!!!!
Tatizo ninyi wapiga debe wa CCM mnadanganywa na fedha mnayopewa na watawala mnajaribu kurubuni watanzania ili kuficha ukweli na hili linatokana na njaa zenu kali za kuchumia matumbo yenu
Watanzania siku hizi hawadanganyiki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom