SILENT ACtOR JF-Expert Member Apr 9, 2011 627 181 Nov 22, 2011 #21 Jenerali kasema kweli: mwenendo huu wa kupata katiba mpya unatupeleka kubaya. Ndiyo matokeo ya siasa za kuchumia tumbo leo bila kukumbuka ya kesho.
Jenerali kasema kweli: mwenendo huu wa kupata katiba mpya unatupeleka kubaya. Ndiyo matokeo ya siasa za kuchumia tumbo leo bila kukumbuka ya kesho.