Siasa? Hakuwa na maana hivyo, alikuwa ana maanisha upinzani hadi 2020 .Jiwe limesema siasa had 2020, sa hz tuwaache wafanye kazi hata kama wanavurunda
Naskia huyu babu hajawahi kuoa...
Wasije wakamzingira, kisha wakaenda kumpima mkojo."Siasa ni maisha na hakuna maisha bila siasa hivyo kutenganisha siasa na maendeleo ni ujinga kwa kuwa kutajenga jamii butu"Jenerali Ulimwengu. #KwanzaHabariView attachment 923849
Kwani kuoa au kuolewa ni lazima. Akili ya mtz kazi kweli2Naskia huyu babu hajawahi kuoa...
Nikileta posa kwenu najua utafurahi sana wallah...Kwani kuoa au kuolewa ni lazima. Akili ya mtz kazi kweli2
Hapana mkuu, labda hadi nikija kuachika kwa mama yako...tehteehhUnaweza kuchukua nafasi mkuu
Leta hata makala moja tu kuthibitisha madai yako!!Jenerali Ulimwengu ni mmoja kati ya binadamu Wanafiki kuwahi kuishi Dunia hii, wakati anaandika Makala zake za gazeti la Rai alikuwa big fan wa military Dikteta Park wa Korea Kusini!
Nilikuwa nafatilia makala zake, sema kuna lengo kuu hakumuelewa vizuri.Jenerali Ulimwengu ni mmoja kati ya binadamu Wanafiki kuwahi kuishi Dunia hii, wakati anaandika Makala zake za gazeti la Rai alikuwa big fan wa military Dikteta Park wa Korea Kusini, ambaye alipindua Serikali ya kidemokrasia na kutawala Korea Kusini kwa mkono wa chuma, tena kuonyesha huyu Mzee alivyokuwa mnafiki alikuwa anakwenda mbali na kusema Afrika ili iendelee inahitaji military dikteta kama Park, leo hii baada ya kushiba kisusio anakuja kuanza kuongela demokrasia, what a hypocrite, ndo maana Mzee Mkapa alimpiga bomba!
Unaweza kuchukua nafasi mkuu
Tatizo kwa jiwe siyo udikiteta. Tatizo strateji za maendeleo zimemushinda ndiyo maana watanzania wanalalamika. Ingekuwa uchumi unakuwa vizuri angekuwa anapendwa mno na wabongo.Jenerali Ulimwengu ni mmoja kati ya binadamu Wanafiki kuwahi kuishi Dunia hii, wakati anaandika Makala zake za gazeti la Rai alikuwa big fan wa military Dikteta Park wa Korea Kusini, ambaye alipindua Serikali ya kidemokrasia na kutawala Korea Kusini kwa mkono wa chuma, tena kuonyesha huyu Mzee alivyokuwa mnafiki alikuwa anakwenda mbali na kusema Afrika ili iendelee inahitaji military dikteta kama Park, leo hii baada ya kushiba kisusio anakuja kuanza kuongela demokrasia, what a hypocrite, ndo maana Mzee Mkapa alimpiga bomba!
Nilikuwa nafatilia makala zake, sema kuna lengo kuu hakumuelewa vizuri.
Jaribu kuniambia utangulizi wake. Usiseme mwisho.
Tatizo watanzani tunasoma mwisho wa mada
Tatizo kwa jiwe siyo udikiteta. Tatizo strateji za maendeleo zimemushinda ndiyo maana watanzania wanalalamika. Ingekuwa uchumi unakuwa vizuri angekuwa anapendwa mno na wabongo.
Nilikua nafutilia sana enzi zile akiandikia gazeti la Rai na makala zake za kila wiki za Rai Ya Jenerali, alikua akichambua kwa umakini, umahiri na akili ya hali ya juuLkn huyo Mzee ni mnafiki hapaswi kuongelea demokrasi leo hii wakati alikuwa big fan wa military dictators!