hakuna mashiko kwenye hoja zenu wote. ninyi kma hamumtaki msitulishe sisi dhana ya kumkataa kwani sisi tunamkubali sana. inawalazimu mfanye kazi ya ziada kuwashawishi wapiga kura wamkatae na sisi tunawashawishi wamkubali. dakika tisini zinaisha oktoba 25 saa nne mpaka saa saba usiku....sikiliza kishindo chake halafu uje jamvini tufanye tathmini kwa pamoja
nakubaliana na wewe kiongozi ukiangalia historia ya chimbuko la vyama vingi vya siasa ulaya utaona limetokana na kutoelewana ndani ya bunge ndipo vyama vikaundwa tafsili fupi hapa ni uibukaji wa vyama vyetu hapa haikua hvyo kwa hyo maslahi ndio kigezo kikubwa cha kuundwa vyama vyetu baada ya kufosiwa na wakoloni wetu kwahyo pindi lowasa atakapo shindwa uchaguzi hatakua tena naupenzi wa kudumisha chama cha chadema mwisho wake kita sinzia km nccr