Jenerali Ulimwengu Katika Kumueleza Maalim Seif

Mzee Said, sio kawaida yako kufichaficha mambo, alisema nini? Mbona husemi alitamka Nini na nini katika hafla ile, mpaka akafungwa speed gavana?
 
HII Makala aione Mkazi wa Karpenaumu Mitaa yote ya Babel na wakazi wote wa Galilaya.....
 
Last...
Alikuwa anataka kugusia uchaguzi wa 2020.

Sheikh Mohamed Said,

..siku nyingine mkitaka kuzungumza mustakabali wa taifa letu kwa UWAZI msiwaalike Mzee Warioba na Mzee Butiku.

..hii sio mara ya kwanza kusikia Mzee Warioba amewazuia watu "kufunguka" wakati wakielezea yanayolisibu taifa letu kama alivyofanya kwa Jenerali Ulimwengu.

NB.

..sina uhakika kama Mzee Warioba amewahi kuwakanya Ccm wanapotoa kauli za matusi na udhalilisha wapinzani dhidi ya wapinzani.
 
Back
Top Bottom