Jenerali Ulimwengu: Hakuna sheria inayozuia mikutano ya kisiasa. Askari waanze kulipa fidia kwa hasara wanazosababisha

Ulimwengu hayupo sahihi kusema kuwa hakuna sheria inayozuia aina fulani ya mihadhara au mikutano ya siasa.

Tanzania inayo sheria ya UCHAGUZI inayoeleza ni wakati gani wa kufanya kampeni za kichama za uchaguzi. Hii mihadhara yenye maudhui ya kampeni za kisiasa katika kuwania nafasi za uongozi inakatazwa isipokuwa katika kipindi mahsusi cha kampeni za uchaguzi.

Hakuna kiongozi wa kisiasa aliezuiliwa kufanya mikutano kwenye jimbo lake. Infact wengi huita press conferences au huandika kwenye mitandao ya kijamii na maudhui yake yanawalenga Watanzania wote.

Lakini kuhamasisha wananchi nchi nzima (mfano, UKUTA) kuwataka wampinge Rais (dikteta uchwara) ni aina ya kampeni za kisiasa, na kwa bahati mbaya sheria iko wazi ni kipindi gani wanaweza kufanya hivyo.

Duh! Reasoning yako mkuu majanga matupu. Nimeanzisha leo chama cha siasa (ni kwa mujibu wa sheria). Hilo jimbo la kufanyia siasa nalipatia wapi? Halafu hao wanachama wanaotakiwa niwatafute kisheria nawapata wapi kama siruhusiwi kufanya mikutano? e.t.c. Hebu jaribu kujiongeza kidogo. Siasa ni mfumo endelevu(continous process)!!!!
 
Nimekuelewa mkuu vizuri sana.

Lakini hebu fikiria.

Kama mara tu baada ya uchaguzi na kupata (kumtangaza) rais mteule, mgombea aliepata kura za karibu ya rais mteule aingie mitaani na kuwaambia raia wasimtii rais mteule kwa sababu anaamini ameiba kura.

Hii haitakuwa DEMOKRASIA bali itakuwa GHASIA.

Kama ndio tu umeanzisha chama chako, basi kinadi kwenye vyombo vya habari, ikifika wakati wa uchaguzi nenda kila jimbo ukutane na/ushawishi wanachama wapya halafu ingia kwenye kinyang'anyiro wakati wa uchaguzi.

Huwezi kuanzisha chama cha siasa halafu utegemee ushindi wa dola katika kipindi cha miaka 5.

Your scenario is unrealistic.
 
hawa wazee sasa wametuchosha sasa hivi kila mstaafu ni mwanaharakati.
huyu aliwahi kuhojiwa uraia wake na serikali ya awamu ya tatu.

Akiwa na kina marehemu John rutayisingwa,Marehemu Muhingo rweyemamu,Johnson bwire na wengineo ndio waliokuwa wakimiliki Habari corporation ambayo ilikuwa ikichapisha magazeti ya RAI,MTANZANIA,MWANASPOTI na mengineyo.
haya yalizoeleka na yalikubalika sana kwa wakati ule..
lakini katika hali ya kushangaza yaliuzwa kwa Rostam aziz(gwiji wa mtandao uliokuwa nyuma ya Lowassa na kikwete)hii ilikuwa ni muda mfupi kabla ya harakati za kampeni na hatimae uchaguzi uliomweka kikwete madarakani,huku waziri mkuu akiwa ni Lowassa.
Baada ya hapo j-ulimwengu akaibuka na RAIA MWEMA gazeti ambalo lipo mpaka sasa.
na ikumbukwe huko nyuma j-ulimwengu aliwahi kuwa kada mzuri wa ccm enzi za mwalimu na cheo cha mwisho alikuwa DC wa wilaya fulani ndani ya Dar es salaam.

Lakini pia ikumbukwe pia baada ya Rostam kutimkia huko ughaibuni inaaminika vyombo vyake vya habari alivyokuwa akivimiliki viko chini ya Lowassa kwa sasa.
na tukiangalia mtiririko wa baadhi ya vyombo vya habari kwa sasa vinaripoti kama vile kuna hiden agenda dhidi ya serikali na serikali inapochukua hatua kudhibiti hali hiyo,basi utasikia wanaharakati wanaporomoka kutoka kusikojulikana na kutoa mapovu ya kutosha ili tu kuwaridhisha wafadhili wanaowapa fedha za uendeshaji taasisi zao.

Je ulimwengu naye yuko upande upi?

UANDISHI?;UANAHARAKATI?
au UANASIASA?

Je aliyoongea ni ya kweli au uongo unaonaje
 
Ulimwengu hayupo sahihi kusema kuwa hakuna sheria inayozuia aina fulani ya mihadhara au mikutano ya siasa.

Tanzania inayo sheria ya UCHAGUZI inayoeleza ni wakati gani wa kufanya kampeni za kichama za uchaguzi. Hii mihadhara yenye maudhui ya kampeni za kisiasa katika kuwania nafasi za uongozi inakatazwa isipokuwa katika kipindi mahsusi cha kampeni za uchaguzi.

Hakuna kiongozi wa kisiasa aliezuiliwa kufanya mikutano kwenye jimbo lake. Infact wengi huita press conferences au huandika kwenye mitandao ya kijamii na maudhui yake yanawalenga Watanzania wote.

Lakini kuhamasisha wananchi nchi nzima (mfano, UKUTA) kuwataka wampinge Rais (dikteta uchwara) ni aina ya kampeni za kisiasa, na kwa bahati mbaya sheria iko wazi ni kipindi gani wanaweza kufanya hivyo.
njaa mbaya sana ,umezaliwa kijijini umeacha ndugu Zako wanalia njaa vijijini wakiwa na magonjwa ya kukosa elimu ,hako kakazi serikalini kanakufanya ujisahau hivi kwani ukiongea ukweli utajulikana vipi na hii fake id

vyama vya siasa si kwa ajili ya uchaguzi tuu ,siasa huwa haina mwisho ndo maana katiba inaruhusu rais akae hata mwezi mfanye mkakati wa kiaheri Mmtoe madarakani sasa haki ya kumtoa utaipataje bila kwenda kwa wananchi mikutano ya hadhara ,wapinzani kwenye katiba ni wafumbua macho wananchi juu ya mwenendo wa serikali ,serikali ikisema tunanunua ndege kwa kodi,mpinzani anakuja na ushahidi tumekopa limkopo lenye riba yakijinga,serikali ikisema imejenga maghorofa kwa 10 bil mpinzani anakuja na ushahidi wa cag kuwa material tu yalizidi 50 bil badae anatoa na kapicha kamipasuko ya nyufa ,sasa ukiwa mbumbu huelewi ,serikali ni waajiriwa wetu na wapinzani ni wakaguzi wetu huru wa mahesabu sasa ukisema mahesabu yakaguliwe kila miaka mitano kaka utaua kampuni hata wewe hapo halmashauli wakija wakaguzi hupendi
 
1) Mwanahalisi
2) Mawio
3) Mseto
4) Raia Mwema
5)......?
6) General (???) Ulimwengu
7)

Ili uweze kuwashitaki polisi, unapaswa kufanya mkutano wako baada ya kuzuiwa. Wakikupiga virungu na kuvunja kamera yako hapo ndiyo umekula hasara nenda kashitaki. Kumbuka walichosema twaweza: mikutano ya vurugu si kipaumbele cha wananchi.
 
Na wewe ulifanya nini. Kila moja aliamini kuwa Magufuli ni mchapa kazi na tulidhani ataiwezesha Tz kuwa na hamasa kubwa ya kazi.
Laki tunayoyaona yanageuza mawazo ya wengi. Hasa ukatili, chuki kwa upinzani, mauaji na double standards za ajabu
 
njaa mbaya sana ,umezaliwa kijijini umeacha ndugu Zako wanalia njaa vijijini wakiwa na magonjwa ya kukosa elimu ,hako kakazi serikalini kanakufanya ujisahau hivi kwani ukiongea ukweli utajulikana vipi na hii fake id

vyama vya siasa si kwa ajili ya uchaguzi tuu ,siasa huwa haina mwisho ndo maana katiba inaruhusu rais akae hata mwezi mfanye mkakati wa kiaheri Mmtoe madarakani sasa haki ya kumtoa utaipataje bila kwenda kwa wananchi mikutano ya hadhara ,wapinzani kwenye katiba ni wafumbua macho wananchi juu ya mwenendo wa serikali ,serikali ikisema tunanunua ndege kwa kodi,mpinzani anakuja na ushahidi tumekopa limkopo lenye riba yakijinga,serikali ikisema imejenga maghorofa kwa 10 bil mpinzani anakuja na ushahidi wa cag kuwa material tu yalizidi 50 bil badae anatoa na kapicha kamipasuko ya nyufa ,sasa ukiwa mbumbu huelewi ,serikali ni waajiriwa wetu na wapinzani ni wakaguzi wetu huru wa mahesabu sasa ukisema mahesabu yakaguliwe kila miaka mitano kaka utaua kampuni hata wewe hapo halmashauli wakija wakaguzi hupendi
Ngoja nikujibu kirahisi sana.

NDIO MAANA TUNA CHAGUZI.

Katika demokrasia, tukishakuchagua wewe kama kiongozi wetu kwa miaka 5 hatuwezi tena hapa katikati kukuwekea mizwenge na mikwara ili tukung'oe isipokuwa kama unakiuka maadili (katiba) ya uongozi.

Kumng'oa Rais kabla ya kipindi chake (Impeachment) inawezekana kupitia bunge au maoni ya wananchi (referendum), na sio kupitia matakwa ya chama kimoja au watu fulani tu.

Mimi na ndugu zangu masikini kule kijijini tukitaka kuleta mabadiliko ya uongozi basi inatubidi tuelimike (ukoo mzima) kuhusu sera na itikadi za tunaemchagua.

Kwa wale wasomi kati yetu, ni jukumu lenu kukaa na jamii zenu na kuwaelimisha sera za wagombea wetu na maslahi yao kutoka kwao.

Tusiwasubiri wabunge na madiwani wayumbishe fikra zao. Kama wewe ni msomi, zungumza na ndugu, rafiki na majirani zako unachokielewa kuhusu wagombea. Usisubiri vyama vya siasa waje kuwarubuni ndugu zako.

Wana siasa ni madalali (sales people), wanavutia kwao siku zote. Wewe na ukoo wako jielimisheni ili mfanye maamuzi sahihi.

Ndugu yangu, usiwe mfiachama, pigania maslahi yako.

Chama kikishinda wanaofaidi kwanza ni wale walioko kwenye inner circle.

Wananchi wengine wa kawaida nje ya makada tunafaidi kama tu sera za chama tawala ni jumuishi.

Wakitufanyia dhulmati itabidi tusubiri mpaka uchaguzi mwengine tuwang'oe.

La sivyo itabidi tuwapindue kwa nguvu. Sidhani TZ tunataka kwenda huko.
 
Ulimwengu hayupo sahihi kusema kuwa hakuna sheria inayozuia aina fulani ya mihadhara au mikutano ya siasa.

Tanzania inayo sheria ya UCHAGUZI inayoeleza ni wakati gani wa kufanya kampeni za kichama za uchaguzi. Hii mihadhara yenye maudhui ya kampeni za kisiasa katika kuwania nafasi za uongozi inakatazwa isipokuwa katika kipindi mahsusi cha kampeni za uchaguzi.

Hakuna kiongozi wa kisiasa aliezuiliwa kufanya mikutano kwenye jimbo lake. Infact wengi huita press conferences au huandika kwenye mitandao ya kijamii na maudhui yake yanawalenga Watanzania wote.

Lakini kuhamasisha wananchi nchi nzima (mfano, UKUTA) kuwataka wampinge Rais (dikteta uchwara) ni aina ya kampeni za kisiasa, na kwa bahati mbaya sheria iko wazi ni kipindi gani wanaweza kufanya hivyo.
Sheria ipi? itaje basi.
 
Ngoja nikujibu kirahisi sana.

NDIO MAANA TUNA CHAGUZI.

Katika demokrasia, tukishakuchagua wewe kama kiongozi wetu kwa miaka 5 hatuwezi tena hapa katikati kukuwekea mizwenge na mikwara ili tukung'oe isipokuwa kama unakiuka maadili (katiba) ya uongozi.

Kumng'oa Rais kabla ya kipindi chake (Impeachment) inawezekana kupitia bunge au maoni ya wananchi (referendum), na sio kupitia matakwa ya chama kimoja au watu fulani tu.

Mimi na ndugu zangu masikini kule kijijini tukitaka kuleta mabadiliko ya uongozi basi inatubidi tuelimike (ukoo mzima) kuhusu sera na itikadi za tunaemchagua.

Kwa wale wasomi kati yetu, ni jukumu lenu kukaa na jamii zenu na kuwaelimisha sera za wagombea wetu na maslahi yao kutoka kwao.

Tusiwasubiri wabunge na madiwani wayumbishe fikra zao. Kama wewe ni msomi, zungumza na ndugu, rafiki na majirani zako unachokielewa kuhusu wagombea. Usisubiri vyama vya siasa waje kuwarubuni ndugu zako.

Wana siasa ni madalali (sales people), wanavutia kwao siku zote. Wewe na ukoo wako jielimisheni ili mfanye maamuzi sahihi.

Ndugu yangu, usiwe mfiachama, pigania maslahi yako.

Chama kikishinda wanaofaidi kwanza ni wale walioko kwenye inner circle.

Wananchi wengine wa kawaida nje ya makada tunafaidi kama tu sera za chama tawala ni jumuishi.

Wakitufanyia dhulmati itabidi tusubiri mpaka uchaguzi mwengine tuwang'oe.

La sivyo itabidi tuwapindue kwa nguvu. Sidhani TZ tunataka kwenda huko.
usinitusi eti mfia chama wa nchi gani tz hee ?
sikiliA mtumishi masikini mla rushwa wa umma awamu ya 5 imedhuhirisha udikteta hadharana imeingilia bunge mno mimi hata sijalisikiliza tena naliona ka kikao cha wasukuma,mahakama ndo vituko,raisi anajiropokea tuu .hivi nyerere ,mkapa,jk ,mwinyi walikuwa wajinga kuruhusu mikutano baada ya kampeni na si kosa lako kupata div 4 ukaungaunga ndo maana unaandika tukishakuteua hadi miaka mitano iishe ...umenihuzunisha kweli unajua maana ya rule of law daily check and balance ya serikali ya kisheria ,impechment si lazima bunge kunakufanya maandamano ya amani na migomo ya kisheria kumshawishi ajiuzuru umesema uelimishe ukoo unauelimisheje kwa kumfata mmoja mmoja au kuwaita kikao cha amani ukilindwa na polici ,ungekuwa umeoa mbeya tungenyanganya mke leoleo uoaga uoaga tuu
 
hawa wazee sasa wametuchosha sasa hivi kila mstaafu ni mwanaharakati.
huyu aliwahi kuhojiwa uraia wake na serikali ya awamu ya tatu.

Akiwa na kina marehemu John rutayisingwa,Marehemu Muhingo rweyemamu,Johnson bwire na wengineo ndio waliokuwa wakimiliki Habari corporation ambayo ilikuwa ikichapisha magazeti ya RAI,MTANZANIA,MWANASPOTI na mengineyo.
haya yalizoeleka na yalikubalika sana kwa wakati ule..
lakini katika hali ya kushangaza yaliuzwa kwa Rostam aziz(gwiji wa mtandao uliokuwa nyuma ya Lowassa na kikwete)hii ilikuwa ni muda mfupi kabla ya harakati za kampeni na hatimae uchaguzi uliomweka kikwete madarakani,huku waziri mkuu akiwa ni Lowassa.
Baada ya hapo j-ulimwengu akaibuka na RAIA MWEMA gazeti ambalo lipo mpaka sasa.
na ikumbukwe huko nyuma j-ulimwengu aliwahi kuwa kada mzuri wa ccm enzi za mwalimu na cheo cha mwisho alikuwa DC wa wilaya fulani ndani ya Dar es salaam.

Lakini pia ikumbukwe pia baada ya Rostam kutimkia huko ughaibuni inaaminika vyombo vyake vya habari alivyokuwa akivimiliki viko chini ya Lowassa kwa sasa.
na tukiangalia mtiririko wa baadhi ya vyombo vya habari kwa sasa vinaripoti kama vile kuna hiden agenda dhidi ya serikali na serikali inapochukua hatua kudhibiti hali hiyo,basi utasikia wanaharakati wanaporomoka kutoka kusikojulikana na kutoa mapovu ya kutosha ili tu kuwaridhisha wafadhili wanaowapa fedha za uendeshaji taasisi zao.

Je ulimwengu naye yuko upande upi?

UANDISHI?;UANAHARAKATI?
au UANASIASA?
Upande wowote atakaokuwa linakuwaje tatizo. Huo ni uhuru wa mtu mradi havunji sheria ambazo ziko wazi. Chombo cha habari chatakiwa kuandika taarifa zenye ukweli. Swala la kutaka liwe na ushabiki kama gazeti la uhuru au tazama ni kichekesho.
 
Back
Top Bottom