Jenerali Ulimwengu: Hakuna sheria inayozuia mikutano ya kisiasa. Askari waanze kulipa fidia kwa hasara wanazosababisha

Ulimwengu hayupo sahihi kusema kuwa hakuna sheria inayozuia aina fulani ya mihadhara au mikutano ya siasa.

Tanzania inayo sheria ya UCHAGUZI inayoeleza ni wakati gani wa kufanya kampeni za kichama za uchaguzi. Hii mihadhara yenye maudhui ya kampeni za kisiasa katika kuwania nafasi za uongozi inakatazwa isipokuwa katika kipindi mahsusi cha kampeni za uchaguzi.

Hakuna kiongozi wa kisiasa aliezuiliwa kufanya mikutano kwenye jimbo lake. Infact wengi huita press conferences au huandika kwenye mitandao ya kijamii na maudhui yake yanawalenga Watanzania wote.

Lakini kuhamasisha wananchi nchi nzima (mfano, UKUTA) kuwataka wampinge Rais (dikteta uchwara) ni aina ya kampeni za kisiasa, na kwa bahati mbaya sheria iko wazi ni kipindi gani wanaweza kufanya hivyo.

Kweli wewe ni Kifyatu
 
Kama hahitaji msaada kwa nini anatumia tiketi ya chama?

Hujajibu swali.

Logic yako mbovu.

Unasema mtu hahitaji msaada wakati yeye mwenyewe bila ya msaada wa chama hawezi kuwa rais.

This arroganve is insane. It is the same arrogance that makes Magufuli utter stupid and nonsensical statement like sikutumwa, ninechukua fomu mwenyewe, only to contradict himself by saying kazi ngumu sana nimesukumwa tu.

Wewe na Magufuli mnaelewana kwa sababu wote waongo waongo na mnabadilisha badilisha maneno.

Mmejaa contradictions.

Hamna logical consistency.
Nafikiri hayo maumivu mliyoyapata kufuatia uchaguzi wa 2015 ni makubwa sana. So it is OK to vent off from time to time. I understand and will not take it as a personal slight on me.
 
wewe hii siyo sheria ni utaratibu wakati wa kampeni. Jitahidi usome sheria kidogo, itakusaidia
Mimi sio mwanasheria wala mwana siasa ila kwa kidogo ninachosoma ni kuwa tume ya uchahuzi imeelezwa uwepo wake kwenye ibara ya 41 ya katiba, hivyo basi ipo kwa mujibu wa sheria.

Halafu ibara hiyo hiyo ya 41 ikaagiza bunge litunge sheria zitakazofuatwa na tume ya uchaguzi katika kuratibu uchaguzi. Kwa mantiki hiyo ni kuwa kanuni zinazotumiwa na tume ya uchaguzi zina baraka ya Katiba na ndio sheria za uchaguzi.
 
Ulimwengu hayupo sahihi kusema kuwa hakuna sheria inayozuia aina fulani ya mihadhara au mikutano ya siasa.

Tanzania inayo sheria ya UCHAGUZI inayoeleza ni wakati gani wa kufanya kampeni za kichama za uchaguzi. Hii mihadhara yenye maudhui ya kampeni za kisiasa katika kuwania nafasi za uongozi inakatazwa isipokuwa katika kipindi mahsusi cha kampeni za uchaguzi.

Hakuna kiongozi wa kisiasa aliezuiliwa kufanya mikutano kwenye jimbo lake. Infact wengi huita press conferences au huandika kwenye mitandao ya kijamii na maudhui yake yanawalenga Watanzania wote.

Lakini kuhamasisha wananchi nchi nzima (mfano, UKUTA) kuwataka wampinge Rais (dikteta uchwara) ni aina ya kampeni za kisiasa, na kwa bahati mbaya sheria iko wazi ni kipindi gani wanaweza kufanya hivyo.
Kifyatu weka sheria hiyo hapa tukusaidie kuitafsiri maana sheria sio noval!
 
hawa wazee sasa wametuchosha sasa hivi kila mstaafu ni mwanaharakati.
huyu aliwahi kuhojiwa uraia wake na serikali ya awamu ya tatu.

Akiwa na kina marehemu John rutayisingwa,Marehemu Muhingo rweyemamu,Johnson bwire na wengineo ndio waliokuwa wakimiliki Habari corporation ambayo ilikuwa ikichapisha magazeti ya RAI,MTANZANIA,MWANASPOTI na mengineyo.
haya yalizoeleka na yalikubalika sana kwa wakati ule..
lakini katika hali ya kushangaza yaliuzwa kwa Rostam aziz(gwiji wa mtandao uliokuwa nyuma ya Lowassa na kikwete)hii ilikuwa ni muda mfupi kabla ya harakati za kampeni na hatimae uchaguzi uliomweka kikwete madarakani,huku waziri mkuu akiwa ni Lowassa.
Baada ya hapo j-ulimwengu akaibuka na RAIA MWEMA gazeti ambalo lipo mpaka sasa.
na ikumbukwe huko nyuma j-ulimwengu aliwahi kuwa kada mzuri wa ccm enzi za mwalimu na cheo cha mwisho alikuwa DC wa wilaya fulani ndani ya Dar es salaam.

Lakini pia ikumbukwe pia baada ya Rostam kutimkia huko ughaibuni inaaminika vyombo vyake vya habari alivyokuwa akivimiliki viko chini ya Lowassa kwa sasa.
na tukiangalia mtiririko wa baadhi ya vyombo vya habari kwa sasa vinaripoti kama vile kuna hiden agenda dhidi ya serikali na serikali inapochukua hatua kudhibiti hali hiyo,basi utasikia wanaharakati wanaporomoka kutoka kusikojulikana na kutoa mapovu ya kutosha ili tu kuwaridhisha wafadhili wanaowapa fedha za uendeshaji taasisi zao.

Je ulimwengu naye yuko upande upi?

UANDISHI?;UANAHARAKATI?
au UANASIASA?
Serikali hii haina hidden agenda ni serikali ya Ki dictator mauaji ubakaji na utesaji, na haya si ya kificho ndio maana wanafanyiwa wajinga wanashangilia na wakija welevu kutaka kuwaelimisha wajinga kupitia magazeti yanafungiwa. Ni hayo tu.
 
Ni muda muafaka sasa wa watu kufungua kesi mahakamani kwa kila jambo ambalo wanaona linatendeka kinyume na utawala bora au katiba, lasivyo tutaendelea kuonewa na serikali katika nyanja mbalimbali mpaka basi
Mahakama gani? Zimeacha kupokea maagizo kutoka juu?
 
Wee ni mzee wachie watoto hayo mambo. Wachie vijana. Uwezi kukaa ndani keko na uzee wako
 
Wewe nawe hata hujitambui. You saying things that makes zero sense.
Umeniuliza kama nilipiga kelele Bulaya alipokamatwa na nikakujibu kuwa sijui polisi walitumia kifungu gani cha kumkamata (charge sheet). Au hujui maana ya charge sheet?

Does this make sense to you now?
 
Sasa hivi tunaogopa hata kukoment maana yule Daktari wa falsafa ambaye ni msemaji mkuu anaweza kukufunga wewe endapo atakuta huna chombo cha kukifungia.
Hivi mfano, kama mtu aliyemtolea bastora Nape naye hajulikani, aliyemuua Alphonce Mawazo (RIP Brother) hajulikani, aliyempiga risasi Tundu Lissu hajulikani ...akitokea mtu akasema ni kampani ile ile inayowatesa na kuwafunga watu mawe viuononi wakiwa hai then kuwatupa baharini utaitwa mchochezi!?
Na je, kweli kweli kweli kweli .....kweli, hatuoni hata haja ya kuwaomba wachunguzi kutoka nje watusaidie!?

bastora??????????!!!!!!!dah....Kiswahili ni kazi kweli kweli......bastola
 
Jenerali alifanya kampeni ya hovyo sana kipindi cha uchaguzi 2015, alimpamba Pombe sana na kumdhalilisha Lowasa!! Hivyo anachosema sasa ni muendelezo wa unafiki wake,
Njaa imepamba sehemu zote
Huyu mkimbizi kaibua kwa njaa mpya
 
Back
Top Bottom