Elections 2010 Jenerali Ulimwengu: CCM Wamejifunga Magoli

....Hebu mmoja kati yetu aliyeona au kuskia serikali ya wababe inayoachia madaraka kwa hiari, na kuwapa "wazalendo" waongoze, ataje apa? Then tunaweza kuongelea swala la team manager kustep down, na refarii (sjui apa atakua nan sasa) kuingia na kusema sasa unaharibu! Tunachoona kama ilivosemwa apo juu, ni kwa walioanzishiwa chama kuwa sidelined, na wenye misuli... wakiwa-assimilate na wana familia wao wachache-ku-grab kila kinachoonekana kunukia vema, huku yale makapi (t-shirts, kofia, na bendera) wakiwaachia wenye stahili!

THINK ABOUT IT, AND THINK HOW YOU ARE CONTIBUTING TO THEIR continuity!
 
Good question!!

Ingawa sijui Jenerali Ulimwwengu alimaanisha nani ajiuzuru, naamini wa ku step down kwa sasa ni JK, Makamba, Msekwa, Kinana, Amani Karume na Kamati Kuu yote ya CCM!!

Kwa ninavyomfahamu Jenerali Ulimwengu, hapo ametoa 5% tu ya sababu anazozijua!! Ana mengi sana huyu, sema anaogopa uraia wake kupokwa!!

Nataka kumtamka mmoja tu!!
Kawaida tunaye team manager mmoja...!

and he has to go...for the sake of the Chama!
..naye niiiii...Jakaya Mrisho Kikwete!!
 
kuna magoli mengi zaidi;

  • kufanya uchaguzi suala la familia badala ya taifa
  • ongezea...!
 
Mtamlaumu Makamba bure aliyemchagua ndiye aliyehitaji huduma anayoitoa Makamba.We huoni hata akili zao zinafanana fanana.Kichwa kikioza mwili nao unakuwa hauna kazi.Tatizo huyu Mkwere,ila kwa mwenendo wake ndio vizuri atusaidie kukiua chama cha mafisadi.
 
(The third goal came when CCM banned its candidates from participating in radio and television debates, which allowed the opposition parties to say what they liked without risking an embarrassing rejoinder from the ruling party. )

Kuhusu hoja hiyo hapo juu bwana Ulimwengu,
HAPO CCM WALIONYESHA NI JINSI GANI WANA KIBRI MBELE YA WAAJIRI WAO,KWANI KUFIKIA MAHALI KUWAKATAZA WAGOMBEA WAKO KU SAILIWA NA WANANCHI UNAWAOMBA KURA NI KUTOJALI NA KUONYESHA KWAMBA HAKUNA KITU CHA KUKUZUIA NCHI NI YAKO BILA WASI UTASHINDA TUU.NA KWA HILI KAMA MWENYEKITI AMELIGUNDUA HANA BUDI KUWAONDOA VIONGOZI WALIOWAPOTOSHA WANACHAMA WAO MARA MOJA.BILA KUMWANGALIA MTU USONI (KUMKOMELA NYANI GLADI).
 
Ulimwengu, you said it well! Kwako siku zote unafiki ni mwiko... congrats.
 
Ulimwengu ni kichwa na hana utindio wa ubongo, labda ingekuwa unaongelea efraim kibonde
 
i like general but i disagree with him on his analysis.it is shallow selfserving and out of touch with reality.ccm has never done anything to done anything in the best interest of the country and are just realizing that
 
Pipo can analyze bwana, huyu bwana mara nyingi huwa namkubali tangu walipomfungulia kesi ya uraia akawapiga chini. He is a great thinker!
 
Mi nimeipenda ile ya kuwazuia wana ccm wasifanye mdahalo. Ila nilitegemea angewauliza kwa nini Kikwete baadaye aliwapiga chenga ya mwili wenziwe na kukubali kuwazunguka kwa kusahiliwa tarehe 29.10?
Na hapa ndipo naanzia kuwapa angalizo wabunge wa ccm kwamba don't rely or trust your leaders maana wanawazunguka kama vile hamna akili nzuri.
Nimekuwa na marafiki zangu wengi wa ccm waliokuwa wanapinga kitendo cha kuzuiwa kuingia kwenye midahalo, lakini wamefanya nini? Kama mbwa wame obey orders za mabwana wao! Na wengi kuanzia hapa wamepigwa chini!
 
Bravo Generali. Your articles have considerable contribution to the liberation of this nation. Keep it up.
 
The fourth [og], Public outrage on fisadi, who are walking freely with impunity.
Fith [og] to close the high learning institutions amidst fear that they could skew the voting infavour of opposition. Guess what! the same students were the good ambassadors and inspirational force in their home towns and villages. They were volunteer for voting education, safeguarding the voting booth, counting and in someplaces pressurizing the release of results before adulteration.
six[og], CCM could not defend its own manifesto of election, instead they went after Slaa in personal and smearing campaign! big mistake, rapper Mr II or rather sugu opened the Chadema manifesto, waao oo you know what happened.
 
Kama kweli CCM inataka kujirudisha heshima yake mbele ya Watanzania inabidi kufanya marekebisho makubwa.

Kwanza kabisa , Makamba akiwa Mtendaji Mkuu wa chama inabidi Kujiuzulu au kufukuzwa kazi. Yeye akiwa Mtendaji mkuu , CCM imepoteza viti vyingi ambavyo viliachwa na aliyemtangulia ya Philip Mangula. Vile vile idadi ya watu waliompigia kura za Rais Kikwete mwaka 2005 imepungua 2010 ie from 9million to 5 million.

Mchakato wote wa kura za maoni ulikuwa hovyo. Makamba is good at propoganda (equivalent to Chemical Ali).

Pili , CCM kama organization itabidi kuangalia muundo wake na kufanyia mrekebisho makubwa. Ni dude kubwa mno. Inabidi kupunguza ukubwa wake na kulifanya ndogo lakini effective na hasa ukizingatia ruzuku itapungua sana.

CCM waeleze wanachama wake garahama halisi ya kuendesha kampeni zake na kufanya cost benefit analysis.

Mkuu itakula kwao!!!
 
Kuna hizi pia:
-JK kuiacha kambi yake ya WANAMTANDAO ya mwaka 1995-2005. Hawa jamaa wamekasirika sana.
-JK kuanzisha kampeni za aina yake na mpya kabisa za BMW( Baba, Mama na Watoto)
-JK anaumwa. Wengi tulitaka apumzike.
-JK kuvikumbatia sana vyombo vya DOLA hasa UwT na JWTZ.
- Kura za MAONI ndani ya CCM kuwapata wagombea. Hata Dr Slaa kwenda upinzani ni matokeo kura hizi.
 
Khaladze, mchezaji wa Georgia alijifunga magoli mawili kwenye mechi dhidi ya Italy, cha ajabu achezea AC Milan.
 
Back
Top Bottom