Jenerali Ulimwengu anamtumikia nani?

Je, kweli Jenerali Ulimwengu anawatumikia watanzania kama vile alivyokuwa Habari Corparation, Chanel na sasa yupo gazeti la Raia Mwema, au tuseme sasa anamtumikia mwanasiasa mmoja aliekuwa maarufu?

Nasena hivyo hasa baada ya miaka ile alikuwa ni mmoja ya waandishi waliokuwa wanafichua maouvu mpaka kufikwa kufukuzwa nchini lkn sasa tunamuona amegeuka kabisa, anawapamba mafisadi
Hujui historia ya ulimwengu wewe.
 
ukiamua kumchafua mtu, weka hoja zenye mantiki
 
Mkapa ile kampeni timu yake ya 1995 wale wengi wa karibu aliwatema live na hapo ndo bifuu kuubwaaa mkapa alilopata toka kwa hao akina jenerali na wenzie.

kwa hiyoo jenerali hakutegemea kabisa kutoswa kivile mpaka akaanzisha makala kali za kuukosoaa sana utawala wa BWM...

JK kuingia mwanzoni akaanza kumpamba, nanukuu ''Kwa mara ya kwanza tumepata kiongozi anayekemea rushwa kwa uwazi kabisaa''. (maneno ya jenerali hayo kwa Jk)

Gafla akagundua jamaa walaa sio kama anavyofikiriii....hapo alitambua nguvu za akina RA dhidi ya mkuluu na mtandao kwa ujumla ambao Jenerali hawakumwihitajiii...

yeye, salva, shoo wakaparaganyika na RA kiulainiii akainunua HCL na kuiweka chini yake huku salva akielekea ikulu, shoo mtaani lakini akipata chapuo za kazi toka kwa RA kupitia salva...

Jenerali kwa sasa anasoma ramani upya atokee vp ila yupoo makinii asikanyage miiba mapemaaa..kile kibano cha uraia hatasahauu..
HABARI NDO HIYOOOOOOO..
huna akili kwelikweli Ila ubongo unao
 
Je, kweli Jenerali Ulimwengu anawatumikia watanzania kama vile alivyokuwa Habari Corparation, Chanel na sasa yupo gazeti la Raia Mwema, au tuseme sasa anamtumikia mwanasiasa mmoja aliekuwa maarufu?

Nasena hivyo hasa baada ya miaka ile alikuwa ni mmoja ya waandishi waliokuwa wanafichua maouvu mpaka kufikwa kufukuzwa nchini lkn sasa tunamuona amegeuka kabisa, anawapamba mafisadi
Na wewe unamitukia nani kwani..?

Nakuuliza swali hili kwa sababu mawazo yako haya ni ya kijinga na hayatakiwi ktk jamii iliyostaaribika...

Kila mtu yuko huru na ana mawazo huru kabisa ktk mambo yote yahusuyo jamii yake ili mradi havunji sheria yoyote...

Sasa wewe na wenzako mnataka "hati miliki" ya uhuru wa mawazo ya wenzenu...??!
 
.
IMG_20211113_095204.jpg
 
Mwambieni bwana zuzu ajibu hoja asitishe watu kuwatumia eti ma police kuwakamata ..

Kama hawezi kujibu hoja basi tuna spika wa ajabu sana tangu nchi hii ipate uhuru 1961.

Ulimwengu ni star on his own..hahitaji kivuli cha mtu kuonyesha u star wake...ni kali ya watu wenye akili na wazalendo wachache waliobakia nchi hii.
 
Je, kweli Jenerali Ulimwengu anawatumikia watanzania kama vile alivyokuwa Habari Corparation, Chanel na sasa yupo gazeti la Raia Mwema, au tuseme sasa anamtumikia mwanasiasa mmoja aliekuwa maarufu?

Nasena hivyo hasa baada ya miaka ile alikuwa ni mmoja ya waandishi waliokuwa wanafichua maouvu mpaka kufikwa kufukuzwa nchini lkn sasa tunamuona amegeuka kabisa, anawapamba mafisadi
Jenerali Ulimwengu ni senior citizen (raia mwenye umri mkubwa). Na uzee siku zote ni dawa, kaona mengi kajifunza mengi, ni mwanahabari mkongwe.

Anachokiongea ni changamoto kwa mamlaka, zijifunze kupokea maoni kutoka katika mtazamo tofauti na ule wa kusifiwa.

Mbunge wetu wa Ngara kawatia ndani jamaa wa bongo flavour kisa wametunga nyimbo tofauti na alivyotarajia, ni hawa hawa wasanii waliomsifia wakati wa kampeni ila safari hii kwa sababu wamekosoa wamelala ndani.

Mamlaka zijifunze kuwa yapo maoni mazuri tu ambayo hayafanani na matarajio yao.
 
Chuma, halafu kuna nyingine alikuwa na Samora Machel. Huyu jamaa nahisi alikuwa mafia wa hatari sana enzi ya Nyerere
Nyerere alikuwa mahiri katika kuwapeleka vijana wake kwenye mafunzo ya kijasusi, siku hizi vijana mahiri ni akina Jokate 'kidoti' na akina Niki wa Pili.
 
Nyerere alikuwa mahiri katika kuwapeleka vijana wake kwenye mafunzo ya kijasusi, siku hizi vijana mahiri ni akina Jokate 'kidoti' na akina Niki wa Pili.
Ila kiukweli nchi imefika pabaya.
 
Kitila ameuliza swali, "kivipi?" hajajibiwa watu wanaanza kujadili hewa. Wanajadili mambo mengine kabisa na mtoa hoja kapotea. Nadhani hapa si mahala pake na mada iliyowasilishwa hapa na MzeeWaHoja haina mashiko kwa sababu nilitarajia ataweka angalao "Rai ya Jenerali" ya wiki hii ama ya wiki iliyopita akaichambua, ama akaja na story ama makala ya gazeti la Raia Mwema, inayolinda mafisadi angeeleweka.

Mimi nadhani kachanganya kati ya Rai na Raia Mwema na kama hivyo ndivyo, sioni sababu ya kuendelea na hii thread tukapoteza muda
Umenena vyema. Ila kuna kitu kinanitatiza. Ndugu yetu Paskali yeye hana hiana, anaunga mkono pande zote mbili. Zile zinazoungana na mtoa hoja na zile zinazopingana na hoja hii. Kulikoni Paskali.
 
Huyu mzee nae ni Opportunist,ni mtu wa makundi.
Mara ya mwisho nakumbuka 1995 alipoyauza magazeti yake na kampuni ya habari corporation kwenda kwa wanamtandao kupitia Rostam Aziz na yakafanya kazi ya kuwachafua watu makini kama Salim Ahmed Salim na kumsafisha mwanamtandao Jakaya Kikwete.

Baada ya uchaguzi, wanamtandao hawakumkumbuka hivyo akaingia studio akatoka na album ingine ya gazeti la Raia Mwema,ambalo ndio anatafutia riziki mpaka sasa.

Walikosana na Marehemu mzee Mkapa,baada ya Mkapa kumgundua alivyo na hila na hivyo akaamua kumfuatilia asili yake.
 
Sina imani naye hata kidogo tokea gazeti lake la Rai kwenye kampeni ya 2005 limchafue Salim na kumpamba JK na wengi walioshiriki walibarikiwa kupewa vyeo!! sio bure na siku hizi gazeti lake hili Raia limebadilika siyo lile la mwanzoni yetu macho!!!
hujui kitu, watu gazeti ka rai linamtukana salim ,likishatika mikononi mwa jenerali, habari corp ilinunuliwa jumla na wanamtandao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom