Jenerali Ulimwengu achambua tija za Wakuu wa Wilaya, Mikoa wakati wa Ukoloni vs CCM

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,222
24,082
Wakati wa Kongamano la Katiba Mpya lililofanyika Chuo Kikuu DSM, suala la nafasi za Wakuu wa Mikoa na Wilaya pia lilipewa nafasi kama inavyochangiwa na Jenerali Ulimwengu ambaye pia aliwahi kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya:

 
Aisee!! Haya ameyasema lini? Majasiri kama hawa wamebaki wachache sana, na usalama wao upo mashakani.
Tukiwa waoga ndiyo tunawapa mitaji. Amini nakuambia hawa wanasiasa wetu wameshajua watanzania tu waoga ndiyo maana wanatuchezea namna hii. Na hapa nazungumzia wote si upinzani si CCM.
 
Back
Top Bottom