Jenerali Ulimwengu amuombe msamaha Spika Ndugai kwani hakuna aliyewahi kushindana naye na kushinda

Bunge lina askari wanaoweza kukamata, kupiga, kutesa, kuhoji na kujeruhi kabla ya kukufikisha kwenye ile kamati yao

Hata kama hawawezi kukufunga jela ila cha moto utakiona. Those days Bashite nae alihemeshwa mpaka akaomba poo

Labda umesahau yale ya kupoteza na yale mengine?

Kama vipi tupanue wigo wa kuwaulizia waliko kina Moses Lijenje?
 
Hapa patamu sana......... Generali hebu tunyooshee mtu Hapa. Maana naona hajui nafasi yake. Anatakiwa akumbushwe kidogo.
 
Back
Top Bottom