Jenerali Ulimwengu: Aliyevuruga biashara ya korosho ni sawa na mhujumu uchumi, anatakiwa awajibike kama wahujumu uchumi wengine

Na huyo si mwingine bali ni nduli na dikteta wa magogoni ANAYEKURUPUKA kila mara kwa kujiona anajua kila kitu kumbe hajui chochote kile.

"Kuvuruga Kilimo na Biashara ya Korosho ni kuhujumu uchumi,aliyevuruga biashara ya zao la Korosho kwa mtazamo wangu kafanya kosa la kuhujumu Uchumi kama wahujumu uchumi wengine"Jenerali Ulimwengu,16:5:2019
 
Aliyevuruga biashara ya korosho ni sawa na muhujumu uchumi anayakiwa awajibike kama wahujumu uchumi wengine
Bahati mbaya safari hii mhujumu wa biashara ya korosho ni mkuu wa malaika mwenyewe, sasa sijui ataburuzwa mahakama gani hapa duniani. Kweli la kuvunda halina ubani na kwa sasa naambiwa ameunganisha nguvu pamoja na yale magamba matatu yaliyoshindikana kuvuliwa na waliojiita wapiganaji...mwinda kawa mwindwa!
 
Kwenye ukweli tuungane ,tuambiane,ukweli utatuweka huru.Sumbua ubongo wako hata kwa asilimia moja.Wewe si roboti.


Kama mtu ana-fake mpaka jina halafu unasema tuingelee ukweli, ukweli gani ataongea huyo? I mean, aanze na jina kwanza, Jina lake ni nani?
 
Back
Top Bottom