Jenerali: Tanzania police keep shooting the messenger, but change is coming

Indeed changes is something very impossible to prevent,it's like trying to prevent the sun frm shining. It can be concluded that, it's only a matter of time. Bob Marley once sang that' time will tell, time alone ooh time will time'. Let's don't opposse changes but prepare ourselves for it,so as to cope to it.
 
Jenerali
They know they can shoot to kill and the story ends there
.
Kiburi chao cha kuua ni vile hakuna anaewajibishwa ama wajibika pale police wanapofanya uzembe kutokana na kiburi na jeuri yao.
 
Sasa ni kawaida kusikia kila siku jeshi la polisi limelazimika, mara kutumia mabomu,mara kutumia risasi za moto kutawanya mkutano au maandamano.
Ni jambo la kujiuliza hivi jeshi hili linayo mbinu hii moja ya kusubiri mpaka dakika za mwisho ndio walazimike kuchukua hatua.
Iko siku watalazimika kusalimu amri kama hawawezi kutumia mbinu za kudadisi na kutoa ushawishi pasipo kufanya madhara kwa raia wanaodai kuwalinda na mali zao.
 
Hiyo ndiyo dhana ya amani ya Afrika, lazima amani ya nchi ilindwe kwa kutumia hata mbinu za kifedhuli kama hiyo, usishangae sana ila time will tell!!!
 
Pori la Biharamuro na mapori mengine huko kanda ya ziwa na kanda ya magharibi kuna ujambazi wa hali ya juu sana. Majambazi yanapora na kuua kila siku.
Basi halisafiri bila ya kuwa na polisi wawili wenye silaha.
Basi likitekwa polisi huwa wanarusha bunduki zao na wanajidai ni raia, hawana ujasiri hata kidogo.
Badala ya kuwaua wahalifu hao wananishangaza eti wananenda kuwaua waandamanaji wasio na silaha yoyote miilini mwao.
Wakenya hawakukosea waliposema kuwa Tanzania hatuna polisi, ila tuna yunifomu za Polisi
 
Polisi wenyewe hawajui hata haki zao za msingi wakiwa kama ni waajiriwa wa serikali, hizo haki za binadamu watazijuaje?
 
siasa zimeingia jeshini, na kupoteza uelekeo, uadilifu na uwajibikaji.
Polisi inafanya kazi kwa maagizo ya CCM
 
Naona kutoka na utitiri wa matukio ya polisi kutumia nguvu ata kwenye mambo ambayo hayaitaji nguvu nashauri libadili jina na kuitwa Jeshi la kulinda usalama wa raia na mali zao ili akilini wawe na lengo la kulinda Raia na si kuwapiga pasipo sababu.
Manake naona kama kuita Jeshi la Polisi its too general such that hawajui prime duties zao.
Ila wajue bila uwepo wa raia wao hawana kazi so raia ni mteja wao anapaswa kulindwa na kutendewa haki na si vinginevyo
Nadhani wakiwa na mtazamo huo sidhani kama vurugu za mbeya ,arusha na kwingineko zingeweza leta maafa
Nawakilisha
 
Wasubiri CHADEMA washike dola hilo litawekwa sawa. Yaani nasikia kinyaa hata kutamka ****
 
Ndo tatizo la kuwa felia ukipata kazi unakuwa mtumwa kama yule mapanya wa a tauni. Lakini sio kila mtumwa wa maamuzi alifeli, manake kuna hadi wenye phd ambao ni vilaza kama wakuu wa vyoo vikuu kuu hapa nchini.
 
Kitendo cha fikra za polisi kujiaminisha kuwa wanafanya kazi kwa uaminifu kwa sababu wamekula kiapo ni upungufu wa kuchanganua mambo. Sababu zifuatazo zinathibitisha hoja yangu. 1. Rais na viongozi wengine wanaapa kuilinda katiba wakati wa kuapishwa, mbona wanapokea rushwa? Kikwete alihongwa suti. Chenge aliihujumu nchi katika ununuzi wa rada? 2. Madaktari mbona wanatoa siri za wagonjwa na wanatoa mimba hovyo kinyume na maadili ya kazi(medical ethics) 3. Mbona usalama wa taifa wanashiriki kuiba kura? 4. Polisi mnahongwa na waharifu na baadhi kuwa majambazi? 5. Walimu wanawapa mimba manafunzi? Hii ni mifano miepesi lakini kuna mifano mizito zaidi ya hiyo ya kukiuka kiapo. Sasa kama kiapo hukiukwa katika mambo yasiyokubalika na jamii nzima, kwa nini polisi wasikiuke kiapo katika mambo ya msingi kwa taifa, kama kuruhusu na kungana katika maandamano ya kudai katiba mpya inayogusa maslahi yao na wananchi kwa ujumla? Polisi jifunzeni lakini hata msipojifunza hatuwabembelezi baadaye mtatupongeza kwa kuleta mabidiliko na kuwaapisha upya kwa katiba mpya ya nchi itakayowapa uhuru wa kufanya kazi bila kusukumwa na chama cha siasa. Mbeya itakuwa Misrata, Arusha-Bengharz, Mwanza-Tripoli na Dar/Pwani-Sirte ambako Kikwete atajificha kwenye mtaro.
 
mzee wetu Jenerali sijui unaongea kutoka moyoni kwani wewe ni mmoja wa majeruhi unaweza kuwa unaripiza kiana
 
Back
Top Bottom