Jenerali on BBC: Viongozi wa Afrika Waruhusu Uhuru Wa Kujieleza wa Raia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jenerali on BBC: Viongozi wa Afrika Waruhusu Uhuru Wa Kujieleza wa Raia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Jan 19, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Siyo kama ilivyo sasa...............


  yaani mimi nisizungumze kitu. ninyamaze:

  "nikuangalie wewe(Rais), nimuangalie mkeo, nimuangalie mtoto wako.......... "


  Source: BBC Dunia Yetu Leo Jioni (Mjadala)
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mnnnh..............
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,706
  Trophy Points: 280
  Nimemsikiliza general akimwaga sumu!
   
 4. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Wanataka tuwasikilize wao na ngonjera zao na mashairi yao. Wakiongea tukae kwa adabu kuwasikiliza. Wakipita mtaani tujipange barabarani kuwapungia mkono. Wakija kutembea kijijini kwetu tuwaimbie kwaya. Huu ni utumwa. Mimi sitafanya hivyo. Heri wanifunge
   
 5. K

  Kipara kikubwa Member

  #5
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jenerali ni matunda yaliyopandwa na Mwalimu ambayo bado yanalika hayajaingiwa na funza, Nakumbuka nilikutana naye airport JNIA siku moja nikawanamtania kuwa wengine tumekaa kimya tunaogopa kuambiwa si raia! Nadhani ipo haja watu hawa tukawatunawatumia sana katika mihadhara mingi na pia tuwalinde kwa garama yeyote
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Jenerali anaijua Tz vizuri, ameishi maisha ya kawaida, amekuwa kwenye mfumo wa uongozi, na anajua vyema shida ya watanzania...tunajisikia fahari sn kuwa na mtu wa aina yake...nisikopata majibu ni kuwa kwanini aliamua kumuuzia magazeti yake RA?
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Modern morality and manners suppress all natural instincts, keep people ignorant of the facts of nature and make them fighting drunk on bogey tales.
   
 8. W

  WildCard JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Jenerali ajitokeze wazi aseme hayuko CCM. Aseme yuko chama kipi. Kalamu yake peke yake haitoshi. Achukue pia UONGOZI wa kisiasa kwenye chama chake. Vinginevyo tofauti yake na sisi tulioko humu ni ndogo. Anasikika kwa sehemu ndogo sana ya Watanzania ambao wengi wao wanambeza tu. Jenerali, jiunge na Dr Slaa.
   
Loading...