Jenerali Muhoozi Kainerugaba atembelea Shamba la Rais Paul Kagame na kupewa Zawadi ya Ng'ombe aina ya Inyambo

Script zao ni za kitoto sana.... movie inaanza tu unajua mwisho wake.

Museveni katumia nguvu nyingi sana kumuandaa mtoto wake Muhoozi kwa ajili ya kumrithi.

Kagame nae anamwandaa mwanae Ivan kuja kurithi kiti chake.

Anyways, ni bora wafanye hivyo, maana Afrika ukitoka bila mipango utaishia lupango au uhamishoni c.c Dos Santos wa Angola
Ni kweli
 
Uko sawa ila iko hizi
1. Brigadier General
2. Major General
3. Luteni Generar
4. General - ambayo hii inakuwa kavu akitambulika kama Mkuu wa Majeshi
Sio kila general anakuwa mkuu wa majeshi Kwa baadhi ya nchi mfano USA,Kamandi zote zinaongozwa ma-general ila mkuu wao naye ni general ambaye huitwa GENERAL OF THE ARMY

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
nyways, ni bora wafanye hivyo, maana Afrika ukitoka bila mipango utaishia lupango au uhamishoni c.c Dos Santos wa Angola
Kweli kabisa na mie nawaunga mkono hatufurahii wengine hasa viongozi kuumia kwa style hii!! tena kule Angola wanao fanya hayo mabaya ni waleee watu wake wa karibu alio wapa Madaraka mwenyewe!

hatufurahi ndg zetu, waliojitoa ajili ya Bara lao, eti familia zao wapate maatizo kwa furaha ya mtu mmoja! big noo!......wakaishi uhamishoni! mweusi/african akiwa Billionea kwa nini weusi wana nuna??

hawa ni kuwatawala tu! make hawajui wana taka nini!! atatokea tu mtu mmoja nchini Angola ataamua kumrudishia yule Dada, Isabela Dos Santos mali zake zoote weye subiri tu!

yaani yule mtoto kuwa Millionea imewauma sana mamtu meusi, weusi mna laana mbaya, Mnangagwa kaamua kupiga kimya tu, Grace Mugabe haguswi!...

Mama yetu Samia kaamua kupiga kimya Makonda haguswi, safi sana hakuna kulipana visasi vya kijinga hovyo kabisa, Mama/Mnangagwa/Kabila mdogo wataishi milele wale kwenye Nyoyo za waafrica!

hata leo wawekezaji wakija wataitwa majina mabaya mabaya tu!..oooh wakoloni wamerudi, gabachori, sijui Beberu linaiba almasi, dhahabu, mafuta nk!....yaani siri iliyopo wakoloni wakija kuwekeza Africa hawana Raha!

Basi muafrica chimba wewe??!! dodoroooo! .......pa kuuzia hana, cha kufanyia hajui, Lkn anapenda kwenda Ulaya kwa kuogolea kwenye Mto/bahari yenye Hatare ili afike KUbeba Boxes kwa hao Wakoloni!

Lkn hao! hao! wakoloni wakija huku kuwapa Ajira Poa kwa wote , ili kuwarahisihia kazi za kuvuka Bahari za Hatare, mnawananga tena hamtaki waziguze Mali zenu!....mpaka wanatimuka.....

.mfano MKONGE mliulililiaa weeee!...mnautaka shamba letuuuu??.......haya hiloooo! makaachiwa na mashine kibao.... huo hapo Mkonge unaoza tu!....Haya mafuta ya Mtwara mpaka mmetoana Roho!

hayoooo sasa yako kwingine Msumbiji! Wamakonde chimbeni sasa km mna jeuri! hamana kitu sasaaa....kuweni wapore mleeee nyani nyie!!!...hata tukiwaua wooote lkn Bado ujinga hautoki milele!
 
Nimesema kuwa Kuanzia Brigadier General hadi General nikiwa na maana ya kwamba kuna ngazi baina yake, kwa hiyo hiyo list unayoniwekea hapoo juu sijui una maana gani.

General siyo mkuu wa majeshi; ni Tanzania tu ambako cheo cha General kimeachwa kuwa cha mkuu wa majeshi tu. Nchi kama Israel haina General kabisa bali cheo cha mwishio na mkuu wa Majeshi ni Lt. General, na kwa nchi kama Marekani ina Generals zaidi ya 50 na mkuu wa majeshi ni General mmojawapo wao. Wote hawa kwenye picha ni Generals, je wote ni wakuu wa jeshi?

View attachment 2152607
Dah umenikumbusha mbali kwa hizi picha!

Enzi za miaka ya 90' kushoto waziri wa ulinzi, kulia kamanda wa "vita vya Sadam"!

Na wote hao walishatangulia mbele za haki,
Mshana Jnr njoooo!

Ahsante kwa ufafanuzi halisi kuhusu vyeo vya kijeshi vya "generals".
 
Back
Top Bottom