Jenerali 'Msauzi' Azungumza Kiswahili Msiba wa Mandela!

Bingwa, hakuna popote katika hoja yangu nilipogusia habari ya msaada!

Sio wewe, kuna mchangiaji mmoja hapo juu ndio katoa hiyo hoja ya kuwa jamaa hawatusaidii teh teh teh....kweli nchi hii kiboko, RAHISI mpaka wananchi wake ni maomba omba.
 
This is where the point is....... Kiswahili juu

Mswahili bwana! Mpaka umwage mayai ndo utajisikia umeandika/kusema kitu.Yule Generali wa jeshi kazungumza kiswahili ni kwamba anakithamini ww mwenzangu unamwaga mayai halafu mwisho unatia kiswahili hoyeee..!.kweli!?, jaribu kudhamiria ndigu
 
Tuliwafundisha Mazimbu hao.Wanamazimbu wako wengi sana jeshini na serikalini S.A!
 
Nilifurahi sana kuona Msemaji wa Jeshi la Afrika Kusini Brigedia Jenerali Solani leo akifanya mahojiano kwa Kiswahili alipokuwa akijibu maswali mbalimbali ya Mwandishi wa BBC-Swahili nchini humo Bw. Ali Mutasa kuelezea makabidhiano ya mwili wa Mzee Mandela toka kwa Jeshi la nchi hiyo kwenda kwa chama chake cha ANC kesho ili wauage mwili wa mwanachama huyo maarufu wa chama hicho kikongwe cha siasa kuliko vyote Afrika. Akasema, kwa kiswahili kinachoeleweka, kuwa mwili huo utarejeshwa kwa jeshi keshokutwa asubuhi, tayari kwa maziko siku hiyo hiyo kijijini Qunu. Akaongeza kuwa maziko ya Mzee Mandela aliyefariki dunia trh 5 mwezi huu yatasimamiwa na jeshi! (Sijui yule kamanda alikuwa Mazimbu enzi zile!? Kiswahili oyeee!!)

Source: BBC-Swahili Service News
Wale wapigania Uhuru wa Afrika kusini wote waliokaa Tz wanakijua Kiswahili na wanakithamini sana na kwao ni Ufahari kuzungumza Kiswahili ambapo ni Kinyume na Viongozi wetu wengi wao wana imani ukizungumza Kingereza ni Ufahari na sifa kubwa wameshindwa kujifunza toka Mataifa Kama china Rusia itary German Spain nk ambazo Marais wao hawazungumzi Kingereza popote waendapo Duniani wanazithamini sana Lugha zao
 
Wana nasaba yetu japo kiuchumi wamegoma kutusaidia hata kuweka mifumo mizuri, inawezekana ni kwa vile weusi wa SA hawajashika uchumi pia, so kiuchumi SA ni ya weupe bado.

Huu ni wakati wa kutomtegemea MJOMBA Kama una mawazo hayo bado basi badilika.alikuwepo JK Nyerere akaja Mandela It'll take a hundred years more to have leaders of the same caliber
 
Wale wapigania Uhuru wa Afrika kusini wote waliokaa Tz wanakijua Kiswahili na wanakithamini sana na kwao ni Ufahari kuzungumza Kiswahili ambapo ni Kinyume na Viongozi wetu wengi wao wana imani ukizungumza Kingereza ni Ufahari na sifa kubwa wameshindwa kujifunza toka Mataifa Kama china Rusia itary German Spain nk ambazo Marais wao hawazungumzi Kingereza popote waendapo Duniani wanazithamini sana Lugha zao

Duh kaka kama ------ alikuwa hataki kujulikana hivyo mpaka jamaa alipopangishwa pale magogoni tutegemee nini lazima unge'nge uwe kwa sana asalamaleko walaahi!
 
Wana nasaba yetu japo kiuchumi wamegoma kutusaidia hata kuweka mifumo mizuri, inawezekana ni kwa vile weusi wa SA hawajashika uchumi pia, so kiuchumi SA ni ya weupe bado.

Kwa nini mnapenda kupaint nchi hii kama "country of useless beggers"?
Fanyeni kazi!
 
Ni kweli huyo kamanda ni miongoni mwa wale waliowahi kuishi pale SOLOMON MAHLANGU (SUA-MAZIMBU).na mara nyingi huwa anawaleta wanaokuja kuzuru yale makaburi ya wapiganaji waliokuwa wanaamini kauli mbiu ya "ALUTA KONTINUA"
 
Wana nasaba yetu japo kiuchumi wamegoma kutusaidia hata kuweka mifumo mizuri, inawezekana ni kwa vile weusi wa SA hawajashika uchumi pia, so kiuchumi SA ni ya weupe bado.

Maybe you are right, maybe we are related by blood to black South Africans. One of the founders of Tanganyika African association ( TAA ) Kleist Sykes his father was called Mbuwane a Zulu mercenary working for the Germans.And his mother was a Nyaturu. Kleist died in 1949 at age of 55
 
Hawa wasauzi walizaa na mabinti kadhaa hapo mazimbu na wala hawakuacha utaratibu wowote wa kuwalea watoto wao na mama zao . Hivi sasa watoto wao ni watu wazima sijajua kama bado hawana mawasiliano nao au la
 
Nilishakutana na Balozi wa SA anaongea Kiswahili na tukaongea naye. Mwisho nikamwuuliza kama ni MAZIMBU....

Yeye akanijubu kwa furaha kabisa "KONGWA" na hapo nikajua alikuwa Mpiganaji.

Mazimbu walikuwa wakiishi Watoto na Wanawake au vilema. Vijana wa kazi walikuwa kambi nyingine kabisa.

Huyu General kwa vyovyote vile hakuwa Mazimbu. Ndiyo maana hata Sokoine alifia Kongwa na ikaleta maswali mengi sana kuwa huyu Mpigania uhuru si alikuwa aishie Morogoro Mazimbu, sasa huku Kongwa alikuwa anafanya nini? Aliyegonga gari la Sokoine, ndiyo DUBE wa kwanza kufahamika Tanzania kwa jina la Dubisan. Mwisho ndiyo akaingia Lucky Dube.
 
Wana nasaba yetu japo kiuchumi wamegoma kutusaidia hata kuweka mifumo mizuri, inawezekana ni kwa vile weusi wa SA hawajashika uchumi pia, so kiuchumi SA ni ya weupe bado.

nyie wenyewe mnajikandia.viongozi wenu wakijinadi wazungu huku wakiungaunga sentesi.awaongei lugha fasaha sio kizungu wala kiswahili.kwenye uchumi ndo walishawakumbatia wachina.wawasaidie nini?
 
Wa-tz hawabebeki ni kama gunia la misumari. Hivi mnataka wasauzi watusaidie nini tusichokuwa nacho? Kama ni bahari sote tunazo, gesi sote tunayo, madini sote tunayo, ardhi ya kilimo tunawazidi, uranium tunawazidi, mnataka msaada gani kama sio laana?
Technology ambazo hatuna, au nalo unabisha?
 
Kusaidia kiuchumi sio kutuletea hela za misaada, ni kutupa technology inayowin wakati huu ili nasi tudandie hilo basi la wazalishaji bora wa vifaa vya kiwandani
 
Back
Top Bottom