babalao 2
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,398
- 3,243
Maneno haya ya JENERALI ULIMWENGU YANA MAANA KUBWA KWA NCHI YETU.
"NI UPUMBAVU MKUBWA KWA NCHI YENYE RASILIMALI NYINGI KUZIACHIA KUTOWEKA. SERIKALI HAIKO MAKINI KUHUSU SUALA HILI. WALEWALE WALIOKUWA MABINGWA WA KUTAIFISHA IWEJE WAWE NDIYO WAWE MABINGWA WA UBINAFSISHAJI NA USHAURI? WAJE WENGINE NA SURA YA UBINAFSISHAJI KULIKO SURA HIZIHIZI AMBAZO ZILITAIFISHA MALI ZA SERIKALI. WANANCHI WATATUSHANGAA SANA"
Kwa jinsi Rasilimali zinavyozidi kuibuliwa nchini mwetu na mwananchi kuzidi kudidimia kiuchumi,hupelekea watu kuamini kuwa Rasilimali ni laana kwa nchi za Africa maana huleta machafuko makubwa kwa nchi isiyojipanga kuhimili vishawishi na mikataba mibovu kutoka mataifa ya kinyonyaji.
Viongozi kama wamelala au wanafikiri watz ni wale wa zamani wanajidanganya mabadiliko yanakuja hayataacha watu wa vijijini wala wa mjini tutende haki.