Jeneral Ulimwengu kumkataa Magufuli na kumkubali Lowassa, je ametafakari?

NgugiAchebe

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,025
688
Nimekuwa nikifuatilia na kusoma makala za Generali Ulimwengu, amekuwa mtu wa kuponda kila kitu kinachofanywa na Rais Kikwete na sasa Rais Magufuli.

Huwa simuelewi kabisa, wakati Lowassa akiwa bado yupo CCM alikuwa anamsifu na kumpigia kampeni kwa makala zake zinazonesha kuwa Lowassa ni msafi kuliko Magufuli hadi nabaki najiuliza huyu babu yangu wa hiari Ulimwengu ana akili kweli!!

Au ndio kile wasemalo watu Ulimwengu amekosa fursa Ikulu kama alivyopata Menzie Salva Rweyemamu kwenye Utawala wa Kikwete?
 
Ulimwengu atajijua amkatae Magufuli haimsaidii hapa Kikwete ndio anaaga kumkabidhi Magufuli

Ulimwengu ni mwandishi wa kimataifa anajua anaandika nini,sio waandishi njaa wengine hata takwimu tu zinawashinda

NYOOO Eti ulimwengu MWANDISHI WA HABARI ZA KIMATAIFA!!!!!!? Huyu Anayeshinda kutwa anaandika LOCAL NEWS? Mwandishi wa habari wa kimataifa unamjua au humjui?
 
YEHODAYA NA SUccinate muna matatzo makubwa ila moja mnalofanana ni ugumu wa kuelewa mambo na kukurupuka, nahisi hata mitihani yenu lazima mlifel!

YEHODAYA: Mleta Uzi kasema jenerali ni mwandishi wa kimataifa akiwa na maana ubora wake na hajasema mwandishi wa HABARI za kimataifa, upo?

SUCCINATE: General hachaguliwi km swali lako unavyouliza General ulimwengu kachaguliwa na nanii? Nami nikuulize swali, Mwamu ulimchaguwa???

Poor uvCCM
 
Jibu swali uliloulizwa huyo jenerali ulimwengu ni wa nchi gani?? Tanzania general ni Mwamnyange tu!;;;!!!
 
Nimekuwa nikifuatilia na kusoma makala za Generali Ulimwengu, amekuwa mtu wa kuponda kila kitu kinachofanywa na Rais Kikwete na sasa Rais Magufuli.

Huwa simuelewi kabisa, wakati Lowassa akiwa bado yupo CCM alikuwa anamsifu na kumpigia kampeni kwa makala zake zinazonesha kuwa Lowassa ni msafi kuliko Magufuli hadi nabaki najiuliza huyu babu yangu wa hiari Ulimwengu ana akili kweli!!

Au ndio kile wasemalo watu Ulimwengu amekosa fursa Ikulu kama alivyopata Menzie Salva Rweyemamu kwenye Utawala wa Kikwete?
Alikula mshiko mrefu sana lazima atokwe jasho, si mchezo.
 
NYOOO Eti ulimwengu MWANDISHI WA HABARI ZA KIMATAIFA!!!!!!? Huyu Anayeshinda kutwa anaandika LOCAL NEWS? Mwandishi wa habari wa kimataifa unamjua au humjui?

Umeshawahi kusoma gazeti la The East African? Jenerali ni mmoja wa wanasafu katika gazeti hilo la kimataifa. Ni vema kujiridhisha kwanza kabla ya kubisha
 
NYOOO Eti ulimwengu MWANDISHI WA HABARI ZA KIMATAIFA!!!!!!? Huyu Anayeshinda kutwa anaandika LOCAL NEWS? Mwandishi wa habari wa kimataifa unamjua au humjui?
nchi yenye demokrasia sio lazima mtu mmoja akubalike kwa wote, kila mtu anaamini katika anachoona kina maslahi kwa jamii yake. ulimwengu ni sehemu ya demokrasia yetu, aamini anachoamini. anakubali anachoamini. uhuru
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom