Jembe Lowassa awashukuru wananchi wa Makuyuni kwa kumchapa Dogo Joshua Nassari

wakati mheshimiwa waziri mkuu mstaafu na mbunge wa jimbo la monduli edward Ngonyai lowassa akiendelea na ziara zake jimboni kwake monduli leo , amemwagia sifa za kutosha raisi jakaya mrisho kikwete kwa kukamilisha ilani ya ccm kikamilifu katika jimbo hilo,wakati huo huo akiwa katika kata ya makuyuni pia ameipongeza kamati ya ulinzi na usalama kwa kumthibiti kikamilifu dogo janja mbunge wa arumeru mashariki kipindi cha kampenzi zilizomalizika katani hapo juni mwaka huu..View attachment 121667
Nassary wa sasa siyo yule wa enzi zile

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom