Jembe Lowassa awashukuru wananchi wa Makuyuni kwa kumchapa Dogo Joshua Nassari

Huu Uzi wa lini mbona JF cku hiz kuna mambo ya kihuni...
.

Sent from my E4i using JamiiForums mobile app
 
Ccm sikuizi haina welekeo kila mtu anajilopokea analojiskia, lowassa kama kweli umeongea hii kauli ikanushe haraka sana make itakuchafua zaidi ya ulivokamatwa ukiwaibia watanzania kupitia rich monduli
Hizi nyongo natamani mje tena mzitapike hapa.
 
Back
Top Bottom