jembe Likiwa na Mundu

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
Jembe la CHADEMA Joshua Nassari likiwa na MUNDU
photo (13).JPG
 
Hii picha ya uhalisia kabisa sio kama zile viongozi wanawekewa carpet na kushikiwa miamvuli wakipanda mti mmoja tu....
 
Amavubi Mundu = sickle (kwa kingereza) - picha hii hapa chini

sickle3.jpg
niliwahi kusikia kwamba ukikaa darasa moja na mzungu/muingereze mkapata maksi sawa ujue wewe una akili sana maana ukisikia sickle utaanza kuwaza kwa kiswahili ndipo uandike kiingereza halafu uoate jibu wakati mwenzio ameshajua zamani sana
 
Yule "Jamaa yetu" anayewashwa miguu, akifanya kama alivyofanya Nassari, LAZIMA kifafa kimuangushe...
 
Mwenye ile mkwele akipanda mti kawekewa kapeti atubandikie hapa tutofautishe kiongozi na mtawala...
 
Heeee Mheshimiwa haoni anapoteza nguvu kwenye mahindi yaliyo zoofika kwa kukosa mbolea na kupandwa kienyeji
 
Back
Top Bottom