Hahahah...mundu sio kiswahili bwana, ni huko huko mashewaitakua maeneo ya sambaani/Mombo?
mundu ni kitu kingine hiyo inaitwa sururu
Hahahah...mundu sio kiswahili bwana, ni huko huko mashewa
na Mundu ni nn mkuu?
kule kwetu tunasema....."sururu"
na sio Mundu
niliwahi kusikia kwamba ukikaa darasa moja na mzungu/muingereze mkapata maksi sawa ujue wewe una akili sana maana ukisikia sickle utaanza kuwaza kwa kiswahili ndipo uandike kiingereza halafu uoate jibu wakati mwenzio ameshajua zamani sana