Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,125
View attachment 96650kwa tafsiri ya sasa tunamwita kichaa lakini kwa tafsiri sahihi hili ni geniusView attachment 96651
nakubaliana na wewe Boscokama umeangalia taarifa ya habari utagundua tunapeleka watu wazima mirembe na kuwapa vichaa madaraka.
kama umeangalia taarifa ya habari utagundua tunapeleka watu wazima mirembe na kuwapa vichaa madaraka.
Huyu inasemekana anaishi karibu na ukuta wa shule 1 hapa dar laking mambo aliyoandika ktk ukuta na maongezi yake ukilinganisha ma maneno ya mwigulu,nape,lusinde,serukamba,shonza utagundua nani alitakiwa kwenda mirembe na nani awe kiongozi.
Mkuu ni nani huyu ?
Jaribu kutuelewesha ambao Taarifa ya Habari
hatukuiona hapo ilipotangazwa.
sijakupata kiongozi!!
Embu Naomba Mnielezee vizuri mimi skuona hiyo tarifa ya habari.
huyu ameonyeshwa leo 12 asubuhi kwenye taarifa ya habari ya ITV, inaonekana ana muenzi Baba wa Taifa kuliko magamba. Ameandika maneno mengi ya busara kwenye ukuta wa Shule ya Jangwani yanayo muenzi Mwl. Nyerere kuliko magamba. Amesisitiza AMANI, kila mtu AMPENDE na kumthamini mwenzake. Ana busara kuliko magamba! Hongera Sam Mahella kwa kutuonyesha kuwa, magamba wamesababisha watu waonekane machizi kwa kufanya hali ya maisha kuwa ngumu!
Tatizo la watu humu JF hawajui kufafanua mambo! kama umeona jamabo sehemu basi wafafanulie wengine jamani,Jf iko dunia nzima,husifikiri kila mmoja anatazama tv za tz
Sio kichaa ni usalama wa Taifa huyo. Yupo hapo kwa kazi maalumu
unasikia kivuma nchi hii tunaitumbukiza shimoni kwa kuwa na itlejensia ya kizamani ya kuweka vichaa.Sio kichaa ni usalama wa Taifa huyo. Yupo hapo kwa kazi maalumu
Kila nchi duniani ina namna zake za kufanya intelijensia, sio lazima kufanya hizo ambazo wanafanya hizo nchi ulizotaja. Sio ajabu huyo yupo hapo kwa kazi maalumu inayohusu ziara ya huyo Rais Obama mwezi huuunasikia kivuma nchi hii tunaitumbukiza shimoni kwa kuwa na itlejensia ya kizamani ya kuweka vichaa.
marekani na israel zinaongoza kwa usalama wa taifa mbona bush na obama hawajaja huku na vichaa?
Sio kichaa ni usalama wa Taifa huyo. Yupo hapo kwa kazi maalumu
Sio kichaa ni usalama wa Taifa huyo. Yupo hapo kwa kazi maalumu