jembe lenye akili kuliko waliopo makao makuu lumumba.

Mkuu ni nani huyu ?
Jaribu kutuelewesha ambao Taarifa ya Habari
hatukuiona hapo ilipotangazwa.
 
Huyu inasemekana anaishi karibu na ukuta wa shule 1 hapa dar laking mambo aliyoandika ktk ukuta na maongezi yake ukilinganisha ma maneno ya mwigulu,nape,lusinde,serukamba,shonza utagundua nani alitakiwa kwenda mirembe na nani awe kiongozi.
 
huyu ameonyeshwa leo 12 asubuhi kwenye taarifa ya habari ya ITV, inaonekana ana muenzi Baba wa Taifa kuliko magamba. Ameandika maneno mengi ya busara kwenye ukuta wa Shule ya Jangwani yanayo muenzi Mwl. Nyerere kuliko magamba. Amesisitiza AMANI, kila mtu AMPENDE na kumthamini mwenzake. Ana busara kuliko magamba! Hongera Sam Mahella kwa kutuonyesha kuwa, magamba wamesababisha watu waonekane machizi kwa kufanya hali ya maisha kuwa ngumu!
 
Tatizo la watu humu JF hawajui kufafanua mambo! kama umeona jamabo sehemu basi wafafanulie wengine jamani,Jf iko dunia nzima,husifikiri kila mmoja anatazama tv za tz
 
sijakupata kiongozi!!

Embu Naomba Mnielezee vizuri mimi skuona hiyo tarifa ya habari.

huyu ameonyeshwa leo 12 asubuhi kwenye taarifa ya habari ya ITV, inaonekana ana muenzi Baba wa Taifa kuliko magamba. Ameandika maneno mengi ya busara kwenye ukuta wa Shule ya Jangwani yanayo muenzi Mwl. Nyerere kuliko magamba. Amesisitiza AMANI, kila mtu AMPENDE na kumthamini mwenzake. Ana busara kuliko magamba! Hongera Sam Mahella kwa kutuonyesha kuwa, magamba wamesababisha watu waonekane machizi kwa kufanya hali ya maisha kuwa ngumu!

Tatizo la watu humu JF hawajui kufafanua mambo! kama umeona jamabo sehemu basi wafafanulie wengine jamani,Jf iko dunia nzima,husifikiri kila mmoja anatazama tv za tz

MSOME Anko Sam na BOSCONTAGANDA utaelewa kwa kifupi!
 
Last edited by a moderator:
ili jembe nililicheki Itv kweli ilikuwa inaelezea upendo kama si mtu mwenye matatizo ya akili vile.
 
Sio kichaa ni usalama wa Taifa huyo. Yupo hapo kwa kazi maalumu
unasikia kivuma nchi hii tunaitumbukiza shimoni kwa kuwa na itlejensia ya kizamani ya kuweka vichaa.
marekani na israel zinaongoza kwa usalama wa taifa mbona bush na obama hawajaja huku na vichaa?
 
Kila nchi duniani ina namna zake za kufanya intelijensia, sio lazima kufanya hizo ambazo wanafanya hizo nchi ulizotaja. Sio ajabu huyo yupo hapo kwa kazi maalumu inayohusu ziara ya huyo Rais Obama mwezi huu
 
Sio kichaa ni usalama wa Taifa huyo. Yupo hapo kwa kazi maalumu

Akili mgando..kila chizi wanasema usalama wa taifa...kuna baba analala pale kawe bridge karibu kabisa na daraja la kuelekea makao makuu ya JKT...nilipouliza wakasema eti usalama wa taifa... Jamani wakati mwingine tuwe na uwezo za kufikiri.... Usalama wa taifa sasa hivi hawana muda wa kupata mateso ki hivyo...Nenda Executive bar makumbusho au break point ndo utaona real usalama wa taifa.
 
Back
Top Bottom