Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 21,428
- 37,641
Wengi tumeshawadharau maana mnachotafuta ni likes na retweets za mashabiki ili mjione Magwiji wa uchambuzi.
Muda mfupi baada ya mechi ya Simba Vs Mbeya city umetweet ukimlaumu mwamuzi msaidizi No.1 kwamba ameruhusu magoli yote mawili ya mchezo wa Leo eti yote kulikuwa na Wachezaji wako offside. Story yako ni kutaka tu kufuta walichocomment wenzio kuhusu goli la Muzamiru ambalo Boko alikuwa offside na akaingilia mchezo, ukafananisha na goli la Tariq kwamba nalo Sixtus alikuwa offside.
Huo ni uongo na wewe unajua ni uongo. Tunakueleza mara Kwa mara ukitaka kuwa mchambuzi mahiri acha Unazi. Umetweet bila kuona position ya Shabalala kabla ya goli. Baada ya kuelezwa hivyo UMEIFUTA tweet yako haraka haraka na umejifanya kama Hakuna kilichotokea.
Utakuwa mchambuzi mzuri kama utaacha mahaba.