Uchaguzi 2020 Jemadari hodari hutambuliwa vitani. Dkt. Magufuli, Mungu anakupa miaka mitano tena kwa kwa kutushindisha vita dhidi ya Coronavirus

Dah nyie WATU ni wakuonea huruma kwa kweli Kwa hiyo Tundu Lissu akipewa NCHI Tanzania itakuwa Kama ulaya ndania ya 5years?.BINADAMU YOYOTE ANAANGALIA UDHAIFU TU HUWA NI WA KUOGOPA SANA

Unafikiri Ndege mlizo nunua hizo Pesa mngezielekeza kwenye Maisha ya Watu (walio wengi) ,tungejenga Vivuko (Madaraja) mangapi.?.Kwenye Afya je ?
 
Kicheko!!.
Hakuishinda ila aligomea kupima na kutoa taarifa! Mbona lipo tuu. Amewaondoa hofu waTZ kwa kuogopa kuwapa msaada wa chakula. Zilizochangishwa ziko wapi?!. Tumeamua kujipa matumaini maisha yanaenda. Wapumzike kwa amani waliotangulia.
 
Mpaka tunavyoogea corona ipo hapa nchini ila haitamgazwi. Ni hivi, ugonjwa huo kwa huku Afrika hasa kwenye ukanda wa kitropiki, ugonjwa huu hauna madhara makubwa, na hata wale wanaoutangaza ugonjwa huu, wanatangaza kama fashion, ila sio ugonjwa unaoua hivyo. Huo ndio ukweli, kama Magufuli ni jemedari wa magonjwa, afanye hivyo kwa kumpa mama yake uponyaji ambaye ni mgonjwa sana.
 
Unafikiri Ndege mlizo nunua hizo Pesa mngezielekeza kwenye Maisha ya Watu (walio wengi) ,tungejenga Vivuko (Madaraja) mangapi.?.Kwenye Afya je ?

ivi we unadhan hii nchi wanakaa maskini tu, hujui kuna watu wanataka wafanye mishe zao kwa haraka? ivi unadhan kila mtu amesomea HGE hii nchi?
 
CCM mna Mambo ya Ajabu Saana. Hakuna lililobadilika wala Kuongezekana ama Kupungua Kuhusu Covid.

Aliyekwambia Kuwa Labda kwa Majirani ndiyo wanashida na Corona ni nani? Kiufipi ni Kuwa nao hawajaamua tu kuruhusu Shughuli ziendelee. Kenya, Uganda, Tanzania na Afrika Kiujumla Madhara ya Corona hayatakuwa na Tofauti Kama nao wataruhusu Shughuli ziruid kama zamani. Acheni kuwafanya Watanzania Wajinga eti Mungu Kaiponya na Corona Tanzania, Ipo kama ilivyostahili Kuwa, Msiwafanye Watu Wajinga Kiasi hicho japo Wengi wanaamini hivyo.
 
Wakati sisi tukifunga shule,Burundi wao walikuwa wanafanya kampeni!Unasemaje sisi ni wa kwanza?Ila Corona bhana,imeondoka na vigogo kadhaa!

Back to topic,watanzania tunaenda kuchagua kiaongozi atakayetufaa!Huyu Magufuli kashaonesha uwezo wake mpaka mwisho!Imetosha!

Wasio na ajira wataenda kuajiriwa na Corona?Watumishi ambao hawajaongezwa mishahara?Wakulima ambao hawana uhakika na soko?
Unawaambiaje Corona ndio sera yako?shame
 
CCM mna Mambo ya Ajabu Saana. Hakuna lililobadilika wala Kuongezekana ama Kupungua Kuhusu Covid.

Aliyekwambia Kuwa Labda kwa Majirani ndiyo wanashida na Corona ni nani? Kiufipi ni Kuwa nao hawajaamua tu kuruhusu Shughuli ziendelee. Kenya, Uganda, Tanzania na Afrika Kiujumla Madhara ya Corona hayatakuwa na Tofauti Kama nao wataruhusu Shughuli ziruid kama zamani. Acheni kuwafanya Watanzania Wajinga eti Mungu Kaiponya na Corona Tanzania, Ipo kama ilivyostahili Kuwa, Msiwafanye Watu Wajinga Kiasi hicho japo Wengi wanaamini hivyo.
Hujalazimishwa kuamini Na hakuna alielazimishwa Wachaaa watu na Imani Zao Unamkatazaje MTU kuamini Mungu katendaa miujizaa
 
Lissu alisema Corona inaua wa-TZ kama kawaida yake akiwa Nairobi. Akapewa sifa ya kushambulia serikali, naye akavimba kichwa. Mbona kaingia kampeni havai barakoa na akijichanganya kwenye makundi. Sifa za kijinga.
Lissu anangalia beberu lake Amsterdam linasemaje,
 
Ilifika wakati nyumbu wakaja na plan B ya kutangaza misiba, hata bodaboda akigongwa na gari na kufa utayasikia..."bodaboda afa kwa korona..alikuwa akitoka hospitali alipopimwa na kuambiwa ana corona akachanganyikiwa na kujibamiza kwenye gari na kufa hapo hapo!...
Octoba 28 lazima mtage nyie chadema!
 
Back
Top Bottom