Elections 2010 Jela miaka mitatu kwa kupiga kura mara mbili : Mwananchi online

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2008
2,268
333
Jela miaka mitatu kwa kupiga kura mara mbili Send to a friend Monday, 01 November 2010 17:41 0diggsdigg

Suzy Butondo, Shinyanga

MAHAKAMA ya wilaya ya Maswa imemuhukumu kifungo cha miaka mitatu mkazi wa kata ya Ipililo wilaya Maswa kwa hatia ya kupiga kura mara mbili katika uchaguzi mkuu jana.

Hakimu Thomas Mtani amesema ameamua kuchukua kuchukua hatua hiyo baada ya utetezi wa mshtakiwa huyo na kumkuta na hatia anastahili adhabu hiyo ili iwe fundisho kwa watu wenye tabia kama hiyo.

Kutokana na utetezi kuwa hajawahi kushtakiwa na pia mahakama kumuon kuwa ni mtu mzima anayetembua kuwa ni kosa kupiga kura mara mbili, mahakama imeamua kumpa adhabu bila faini ili iwe fundisho asirudie tena

Source Mwananchi.co.tz
 
wanaoiba kura za wananchi, ie wasimamizi wa uchaguzi na maafisa wa tume ya uchaguzi mbona wao hawapelekwi mahakamani????
 
Wamemlipa pesa kuwapigia kura mara mbili,lakini mahakamani hawakutokea kumsaidia.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom