Jela miaka 40 kusafirisha dawa za kulevya

Mwaka 2012 nilikutana na dogo flani nilimuacha shule kitambo tulikumbukana sababu nilisoma darasa moja na kakayake, dogo alikua vizuri na alinichana live anauza ‘poda’, “bro kama unaweza nikupe mchongo” nikamuambia nipe namba nitakuchek, akaniambia namba sikupi ila siku nyingine nitakuja tuongee. Sikumuona tena, najua atakua ameshanasa.
Kwanini ukimbilie kusema kanasa?
 
Committal proceedings are injustice!!!

Mtu anakaa miaka 9 mahabusu hukumu inatolewa anaambiwa hana hatia! Atakua kapoteza vitu vingapi hapo?

Madai eti uchunguzi haujakamilika!

Hizi sheria zinatakiwa zifanyiwe amendment ila amendments zinatoka nyingi zilizojaa upuuzi hakuna cha maana!

Nonsense 🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom