Jela miaka 30 kwa kubaka mtoto wa miaka 12

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,008
9,873
MKAZI wa Kijiji cha Buganda, Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, Bossco Amoni (20), amehukumiwa miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mtoto mwenye miaka 12.

Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya hiyo, Eric Marley, alitoa hukumu hiyo baada ya kusikiliza ushahidi wa pande zote mbili ukiwemo wa mtoto aliyebakwa.

Shahidi wa kwanza alikuwa ni Scholastic Elasto (50) mama wa mtoto huyo ambaye kwenye ushahidi wake alidai alimzaa Desemba 26 mwaka 2017 na anasoma darasa la tano.

Alidai alipewa taarifa za kuwa mwanaye yuko Kituo cha Polisi Ukiriguru baada ya kukutwa akibakwa.

Naye mtoto huyo kwenye ushahidi wake, alidai alikuwa akienda nyumbani kwao Kijiji cha Ngudama na njiani alikutana na mtuhumiwa ambaye ni shemeji yake.

Alidai mtuhumiwa alimuomba amsindikize dukani kununua wembe na akampitisha njia ya vichakani na alipofika kwenye mti wa mwembe alimbeba na kumlaza chini na kumvua nguo kwa nguvu na kumbaka.

Alidai alipiga kelele kuomba msaada na baada ya muda alipita mzee mmoja akamsaidia.

CHANZO: MTANZANIA
 
Hapo naona kutakua kuna makosa ya huo mwaka, maana mtoto ana miaka 12, yote tisa jamaa mpaka atoke atakua ana miaka 50, ujana wote atalia jela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah sijui wanaume tyunashida gani wapo wengine wa kununua lakn hadi tyukabake
 
Jela wanahesabu kiutofauti miaka. Umakuta hiyo 30 ni miaka halisi 22 tu
Shahidi wa kwanza alikuwa ni Scholastic Elasto (50) mama wa mtoto huyo ambaye kwenye ushahidi wake alidai alimzaa Desemba 26 mwaka 2017 na anasoma darasa la tano.

Hapo naona kutakua kuna makosa ya huo mwaka, maana mtoto ana miaka 12, yote tisa jamaa mpaka atoke atakua ana miaka 50, ujana wote atalia jela

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ndio madhara ya kutaka kutoa bik*ra.
Sasa anaenda kukosa hizo kitu zaidi ya miaka 20 na huenda nayeye anaenda kutolewa bik*ra ya makinikia na wanaume wenzie.
 
MKAZI wa Kijiji cha Buganda, Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, Bossco Amoni (20), amehukumiwa miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mtoto mwenye miaka 12.

Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya hiyo, Eric Marley, alitoa hukumu hiyo baada ya kusikiliza ushahidi wa pande zote mbili ukiwemo wa mtoto aliyebakwa.

Shahidi wa kwanza alikuwa ni Scholastic Elasto (50) mama wa mtoto huyo ambaye kwenye ushahidi wake alidai alimzaa Desemba 26 mwaka 2017 na anasoma darasa la tano.

Alidai alipewa taarifa za kuwa mwanaye yuko Kituo cha Polisi Ukiriguru baada ya kukutwa akibakwa.

Naye mtoto huyo kwenye ushahidi wake, alidai alikuwa akienda nyumbani kwao Kijiji cha Ngudama na njiani alikutana na mtuhumiwa ambaye ni shemeji yake.

Alidai mtuhumiwa alimuomba amsindikize dukani kununua wembe na akampitisha njia ya vichakani na alipofika kwenye mti wa mwembe alimbeba na kumlaza chini na kumvua nguo kwa nguvu na kumbaka.

Alidai alipiga kelele kuomba msaada na baada ya muda alipita mzee mmoja akamsaidia.

CHANZO: MTANZANIA
Daaaah Bora hata angepiga punyeto kuliko kubaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom