Jela miaka 10 ukibainika kuambukiza virusi makusudi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jela miaka 10 ukibainika kuambukiza virusi makusudi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kilimasera, Feb 11, 2011.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ATAKAYEBAINIKA kuambuikiza na kusambaza virusi vya ukimwi kwa makusudi atatumikia kifungo cha miaka 10 jela.
  Hayo yamebainishwa jana na Waziri wa Katiba na Sheria, Bi. Celina Kombani alipokuwa akijibu swali Bungeni.

  Kombani amebainisha kuwa, mtu yeyote akibainika anasambaza virusi vya ukimwi kwa makusudi atapewa adhabu ya kifungo cha miaka mitano hadi kumi kutokana na kosa hilo.

  Amesema kusambaza virusi hivyo kwa makusudi kwa watu wengine ni kosa la jinai kisheria.

  Hivyo sheria hiyo itaanza kutumika pindi mtu atashitakiwa kwa kosa hilo mahakamani.
   
 2. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 875
  Trophy Points: 280
  Hilo ni kosa la kukusudia kuua jamani!!! wanasheria adhabu hiyo inatosha kweli?
   
 3. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  hii adhabu haitoshi bana wanatakiwa wapigwe maisha au kunyongwa,,, hii ina tofauti gani na mauaji?
   
 4. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Tatizo ni jinsi ya kumpata mhusika, ila mi nilifikiri kifungo cha maisha ndo kinafaa maana ni uuaji.
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hata mi naona haitoshi.
   
 6. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hapo pazito na anayeambukizwa atajuaje kama mhusika ana ukimwi ingekua wanajitangaza sawa
   
Loading...