Jeje by Diamond Platnumz: Fahamu Machache Kuhusiana na Wimbo Huu, Kubwa Likiwa ni Copy & Paste

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,446
16,299
Wana-entertainment natumai mmeamka salama.

Saa moja iliyopita bwana mdogo Diamond Platnumz katoa ngoma yake ya kwanza kabisa kwa mwaka huu 2020.

Haya ni machache kuhusiana na wimbo huo mpya:

1. Jina la wimbo (Jeje) ni la ki- Yoruba, moja ya kabila kubwa kabisa linalopatikana Nigeria.

Jeje kwa Kiingereza ni Camel, kwa Kiswahili ni Ngamia.

2. Wimbo una mahadhi ya kinigeria 100%

3. Ni copy & paste kutoka wimbo wa On the Low alioimba nguli wa muziki kutoka Nigeria, Burna Boy, pamoja na Joro kutoka kwa Wizkid.

4. Hajaishia kucopy melody tuu, bali mpaka video kwa asilimia 90 inafanana na video ya On the Low ya Burna Boy.

5. Aina ya uchezaji pia ni copy & paste kutoka wimbo huo huo wa On the Low wa Burna Boy.

6. Producer wa huo wimbo pia ni mnigeria Kelpvibes ambaye ndiye producer wa On the Low ya Burna Boy. Na hii labda ndio sababu wimbo wa Jeje unafanana na On the Low. Hatujui labda kuna makubaliano kati ya DP,KV na BB kunakili baadhi ya ideas za huo wimbo wa On the Low. Lakini ndio u-copy mpaka video!

Hayo ndiyo machache kutoka kwenye huo wimbo.

Mwisho kabisa namshauri huyu national icon wetu kwa ustawi wa carrier yake aache kucopy kutoka kwa wanaijeria kwani kwa kiasi kikubwa anachafua reputation yake.

Ni juzi tuu ametoka kucopy wimbo wa Baba Lao kutoka kwa mnaijeria. Baada ya hapo wimbo wa mpenzi wake Tanasha, Gere pia wamecopy ideas nyingi kutoka kwa Mbrazili IZA, haijapita hata wiki kacopy tena kutoka kwa mnaijeria. This is so weird.

Kwa wapenda music pigo za Jeje haziifikii On the Low hata robo. Yani ukizishindanisha Jeje itachakazwa vibaya mnooo. Kucopy haikatazwi lakini ukicopy kitu basi boresha zaidi, sio unacopy then unatoa boko

Burna Boy - On the Low

Wizkid - Joro

Diamond Platnumz - Jeje

Nenda akakupake wese,anese nese, azame ndani na rungu kama comrade kipepe pe
Wana-entertainment natumai mmeamka salama.

Saa moja iliyopita bwana mdogo Diamond Platnumz katoa ngoma yake ya kwanza kabisa kwa mwaka huu 2019.

Haya ni machache kuhusiana na wimbo huo mpya:

1. Jina la wimbo (Jeje) ni la ki- Yoruba, moja ya kabila kubwa kabisa linalopatikana Nigeria.

Jeje kwa Kiingereza ni Camel, kwa Kiswahili ni Ngamia.

2. Wimbo una mahadhi ya kinigeria 100%

3. Ni copy & paste kutoka wimbo wa On the Low alioimba nguli wa muziki kutoka Nigeria, Burna Boy, pamoja na Joro kutoka kwa Wizkid.

4. Hajaishia kucopy melody tuu, bali mpaka video kwa asilimia 90 inafanana na video ya On the Low ya Burna Boy.

5. Aina ya uchezaji pia ni copy & paste kutoka wimbo huo huo wa On the Low wa Burna Boy.

6. Producer wa huo wimbo pia ni mnigeria Kelpvibes ambaye ndiye producer wa On the Low ya Burna Boy. Na hii labda ndio sababu wimbo wa Jeje unafanana na On the Low. Hatujui labda kuna makubaliano kati ya DP,KV na BB kunakili baadhi ya ideas za huo wimbo wa On the Low. Lakini ndio u-copy mpaka video!

Hayo ndiyo machache kutoka kwenye huo wimbo.

Mwisho kabisa namshauri huyu national icon wetu kwa ustawi wa carrier yake aache kucopy kutoka kwa wanaijeria kwani kwa kiasi kikubwa anachafua reputation yake.

Ni juzi tuu ametoka kucopy wimbo wa Baba Lao kutoka kwa mnaijeria. Baada ya hapo wimbo wa mpenzi wake Tanasha, Gere pia wamecopy ideas nyingi kutoka kwa Mbrazili IZA, haijapita hata wiki kacopy tena kutoka kwa mnaijeria. This is so weird.

Kwa wapenda music pigo za Jeje haziifikii On the Low hata robo. Yani ukizishindanisha Jeje itachakazwa vibaya mnooo. Kucopy haikatazwi lakini ukicopy kitu basi boresha zaidi, sio unacopy then unatoa boko

Burna Boy - On the Low

Wizkid - Joro

Diamond Platnumz - Jeje

Similar Discussions

Back
Top Bottom