JEIKEI ageuka kuwa AFISA HABARI WA TANESCO

Unakumbuka kuwa nilikuwa nakutaarifu kila hatua na kuwa nilitaka kuvunja mkataba wa RichDowa. by EL
 
Japo ni mgeni jamvini haina haja ya kumponda na nyie mliojiunga 2007,je wa 2006 wangewakashfu namna hiyo mngekuwa na guts za kuchangia? Wapi waliposema lazima post ya kwanza lazima usalimie wanajamii? Acheni upupu yani kuna watu humu wao ndo wanajifanya jf ndo waanzilishi wakati ni makanjanja tu,weupe wanatumia net za bure ofisini,acheni ujinga changieni mada na sio upupu wenu huo,mpya jf so what? Je kama alikua anatumia I'd nyingine na akapigwa ban?

Nakubaliana na wewe kabisa jk iweje awazungunzie Tanesco tu? Kama yeye ndo rais ana haki ya kuzungumza kila jambo,mbona yeye tu na tanesco au kuna maslahi yake hapa,maji ni tatizo kuu na sugu mbona alizungumzii,foleni barabarani za kutisha mbona halizungumzii kila mwisho wa mwezi? Na me nilijuuliza hv jeikei ni msemaji wa tanesco siku hizi?

Ni mtazamo tu masela msijenge chuki
 
Atakayekuchukia kwa haya uliyosema hana haja ya kupimwa, ni moja kwa moja Mirembe wodini. Mimi mwenyewe niliingia hapa bila kusalimia, na ndio mila za kabila letu na hata nikiondoka sitaaaga. Kilichowauma ni kuwa MGENI kaja na FUKO LA UKWELI, sasa unawawasha.
 
hivi zile ambulance za bajaji zimeshapelekwa Makongolosi Chunya?
Hivi bajaji yenye mama mjauzito itatoka Makongolosi, au Kambikatoto iende hospitali ya rufaa Mbeya kweli?
 
Bei mpya ya umeme utafanya watu wengi warudi kijijini

kijijini kufanya nini, tutabanana humuhumu town, hata wapandishe unit iwe laki, na hapo ndiyo wale jamaa wanajiita vishoka huwa wanapata madili ya kuchakachua mita, unanunua umeme wa elfu tano, unatumia mwezi mzima.
 
Atakayekuchukia kwa haya uliyosema hana haja ya kupimwa, ni moja kwa moja Mirembe wodini. Mimi mwenyewe niliingia hapa bila kusalimia, na ndio mila za kabila letu na hata nikiondoka sitaaaga. Kilichowauma ni kuwa MGENI kaja na FUKO LA UKWELI, sasa unawawasha.

Kuna watu wana-bore sana humu jamii forum as if wao wanajua kila kitu au wana-rights zote kuliko wengine,thanks mkuu shizukan kwa kulitambua hilo
 
kwan katika mahitaj ya muhimu umeme c mstari wa mbele???au we hujui kwamba bila umeme hakuna maendeleo???hoofyoo kabisa wwe...!!!!
 
We mbwiga nini,nimekuambia umeme si muhimu,angekemea ufisadi huo ndo unasababisha umeme upande(mikataba mingi ovyo)akaze huko,
 
Kuna watu wana-bore sana humu jamii forum as if wao wanajua kila kitu au wana-rights zote kuliko wengine,thanks mkuu shizukan kwa kulitambua hilo

Semen nyie,hapa ni hoja sio uenyeji,nukuu shaban robert"kabla ya elimu busura ilipimwa kwa mvi za mtu kichwani,ila baada ya elimu ata kijana wa miaka kumi na tano aliweza kuwa na busara"RIWAYA YA KUSADIKIKA
 
Atakayekuchukia kwa haya uliyosema hana haja ya kupimwa, ni moja kwa moja Mirembe wodini. Mimi mwenyewe niliingia hapa bila kusalimia, na ndio mila za kabila letu na hata nikiondoka sitaaaga. Kilichowauma ni kuwa MGENI kaja na FUKO LA UKWELI, sasa unawawasha.

Wamuulize Mubarak alikua na vibaraka kama hao,kila kitu kilikua kizur kwao,waache waendelee kuchukulia poua!mda utasema
 
Japo ni mgeni jamvini haina haja ya kumponda na nyie mliojiunga 2007,je wa 2006 wangewakashfu namna hiyo mngekuwa na guts za kuchangia? Wapi waliposema lazima post ya kwanza lazima usalimie wanajamii? Acheni upupu yani kuna watu humu wao ndo wanajifanya jf ndo waanzilishi wakati ni makanjanja tu,weupe wanatumia net za bure ofisini,acheni ujinga changieni mada na sio upupu wenu huo,mpya jf so what? Je kama alikua anatumia I'd nyingine na akapigwa ban?

Nakubaliana na wewe kabisa jk iweje awazungunzie Tanesco tu? Kama yeye ndo rais ana haki ya kuzungumza kila jambo,mbona yeye tu na tanesco au kuna maslahi yake hapa,maji ni tatizo kuu na sugu mbona alizungumzii,foleni barabarani za kutisha mbona halizungumzii kila mwisho wa mwezi? Na me nilijuuliza hv jeikei ni msemaji wa tanesco siku hizi?

Ni mtazamo tu masela msijenge chuki

Wape ukweli tu,(wao wapo katika fungate ya uhuru)wanajifanya haoni,waendelee vivo hivyo,si andiki kumfarahisha mtu,kama hawajui niliingilia lini,watafute post humu wataona(siasa,mmu,utambulisho)si andiki upupu mi,naandika ninacho kielewa
 
wewe ungepiga mswaki kwanza ndo uje hapa,sasa unakurupuka na mitongotongo yako huku kinywa kinanuka unakuja kutupigia miayo yako inayonuka hapa.

We unaonekana muoga wa maisha,unaogopa sana wanaokuweka mjini,mimi najitegemea wewe mbwiga wewe,unazan hii TBC,habari leo,uhuru, Dira,sifagilii mtu,sinaga shobo,wewe si unapiga mswaki unaongea nin cha mana,nyie ndo wale kama watu(great thinker)wasingeandika humu mngekua hamna cha kuandika,KIAZI WEWE,siandiki kukufarahisha wewe wala kwa unaojipendekeza,na jamvin tunaangalia NGUVU YA HOJA,sio umefika lini kiazi wewe,ingekua hivyo wote waliotangulia kuzaliwa wangekuwa matajiri,au waliofika mapema mjini basi wote wangekua na viwanja mji mzima boyaa wewe,HAPA HOJA,SIO UMRI,wazee wangapi wanaongea pumba pamoja na umri wao,umri ni namba tuu
 
Back
Top Bottom