JEIKEI ageuka kuwa AFISA HABARI WA TANESCO

wewe ungepiga mswaki kwanza ndo uje hapa,sasa unakurupuka na mitongotongo yako huku kinywa kinanuka unakuja kutupigia miayo yako inayonuka hapa.
 
Tangazo;

hapa ni great thinkers; tafadhali,

fikiri kwanza kabla ya kupost thread yako.
 
Jeikei amekuwa afisa habar wa tanesco,kila mwisho wa mwaka 2010&2012,amekuwa anatoa hotuba za kuwaambia wananchi wawe wanakubali BEI MPYA ZA UMEME,kila mwaka unapoisha,basi awe anaisemea na EWura n.k

Nadhani ni cheo kinachomfaa.mi hotuba zake huwa sisikilizi.
Nimesikiliza ya kagame ipo hot.mambo ni mazito huko.
Achana na mkwaree
 
kikwete kama rais lazima azungumzie masuala yote ya kitaifa ikiwemo tanesco.
 
kawaida watu walio KATIKATI wote ni vibaraka...tena njaa...kuku wakienyeji!!
Tabu tupu@??
 
Jeikei amekuwa afisa habar wa tanesco,kila mwisho wa mwaka 2010&2012,amekuwa anatoa hotuba za kuwaambia wananchi wawe wanakubali BEI MPYA ZA UMEME,kila mwaka unapoisha,basi awe anaisemea na EWura n.k

Bei mpya ya umeme utafanya watu wengi warudi kijijini
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom