mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,463
Ndugu zangu wa jukwaa hili,
Kuna jambo uwa linanitatiza sana kulielewa, kwamba binadamu hufa kwa mengi, kansa ambazo nyingine huozesha miili, n.k, lakini pia baada ya kuzikwa ni wazi tu kuwa mwili huu hushambuliwa na wadudu na kwisha kabisa, vitabu vingi vya dini vinatuambia kuwa tutafufuliwa na miili mipya then adhabu na hukumu kwa ujumla ndo vinaendelea.
Sasa swali;
1. Mungu haoni kama atalipa jicho jipya, sikio na viongo vingine vipya mfano vilivyozini adhabu ya kuonea?
2. Moto utachomwa mwilini au nafsi ndo itachomwa? Maana vitabu vinasema mwili we unaonaje, mwili mpya ndo utachomwa?
Nb: Mimi ni muumini na naamini katika kufufuliwa siku ya mwisho nimeleta hoja tujifunze.