Jeffery Smith:Tundu Lissu is one of the bravest humans I ever met

Huyo akiwa ' brave ' na akina Nyerere, Mandela, Machel, Lumumba, Kaunda, Nkurumah achilia mbali na wale Watanzania na Waafrika wengine waliopigania nchi zao tena Kipindi Kigumu kabisa cha Wakoloni na Mateso bila kusahau Manyanyaso yao kiasi kwamba leo hii Waafrika wengi tunakula Matunda ya Upambanaji Wao itakuwaje au nao waitweje?
Lissu ni brave kwenye dunia hii iliyokuwa na vijana wasomi wengi na wanamuappreciate wengi nadhan ni moja ya kitu bora na cha kujivunia nampongeza kwa hilo

Nyerere na wenzake walikuwa brave ila walizungukwa na kundi kubwa la wajinga pia na wapongeza kwa juhudi zao

Point yangu ni kwamba hatuwez kufananisha nyakat wote wametumia nafas zao vizur na wote ni brave kwa nyakat zao
 
Naona umejibu ' Kipuuzi ' sana kama ulivyo na hata hivyo sikulaumu sana kwani huo upande uliopo badala ya kuwekeza katika Siasa bora na zenye Tija nyie mmewekeza tu katika Majungu, Chuki na Harakati zisizo na Kichwa wala Miguu. Na msipobadilika CCM itatawala Tanzania hii hadi pale Dunia itakapofikia Ukomo wake au Kristo atakapokuja kama alivyotuahidi Kiimani.
 
Back
Top Bottom