Jeffery Smith:Tundu Lissu is one of the bravest humans I ever met

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,994
144,329
Ameandika ujumbe huu kupitia twitter:

Tundu Lissu is one of the bravest humans I've ever met, and I'm deeply, profoundly proud to call him a friend. That he will return to Tanzania - and continue to push for change - after being shot nearly twenty times is a testament to his courage. It is truly awe-inspiring.
 
This is a naked truth, hatakaa atokee mtu kma TAL, 90% of Tanzanian ni walamba miguu na wachumia tumbo
 
Lissu kwa sasa ndiyo habari ya dunia na ndiyo mwana siasa mtanzania anajulikana kuliko wote baada ya marehemu JK Nyerere
Ameandika ujumbe huu kupitia twitter:

Tundu Lissu is one of the bravest humans I've ever met, and I'm deeply, profoundly proud to call him a friend. That he will return to Tanzania - and continue to push for change - after being shot nearly twenty times is a testament to his courage. It is truly awe-inspiring.
 
Jeffery Smith: ndiiyoonaaan?
Jiongeze!!! , acha kuwa mvivu ingia Google search for Jeffrey Smith, hii ni karne ya Information Technology (IT)..
Screenshot_20190525-194929.jpg
 
Binafsi namkubali sana Lissu tatizo ni namna anavyowasilisha hoja zake. Ni mtu anayedhani anajua kila kitu na wengine wote ni maboya kwa hulka yake hana tofauti na Jiwe.
Naamini ameona speech aliyotoa Julius Malema bungeni wakati anampongeza Rais mteule. Hotuba imeshiba lakini ameitoa kwa adabu sana.
 
**** kuna kitu alikosea, tusaidie au msaidie kwa kumsahihisha, else save bites.
 
Back
Top Bottom