Jeff Koinange met Mengi

Kwa watu kumi bora wanaomiliki uchumi wa Tanzania, Mengi pekee yake ndiye Mtanganyika mweusi, wengine wote ni makanji bhai na waarabu. Halafu utawaskia Watanzania wakijisifia jinsi wao ndio wenye nchi.
mbona sisi hatusemi kuwa apartments karibia zote za nairobi zinamilikiwa na kikundi kidogo cha wakikuyu wenye ukaribu na utawala?

mbona hatusemi kuwa ardhi kubwa ya kenya pamoja na ile ya uwanja wa ndege inamilikiwa na kenyatta family?
 
Kinachofahamika kama facts, Watanganyika weusi hampo kwenye kumi bora ya watu wanaomiliki uchumi wa Tanzania, nyie mpo kule chini mnasubiri makopo kwenye nchi yenu.....makanjbhai na waarabu ndio top cream ya uchumi wenu.
 
Na huko je kwa wazee wa nipee kazi kusubiria makombo ya wazungu
 
Jeff Koinange- Biograply
Kenyan journalist and talk show host of Jeff Koinange Live on Citizen TV since February 2017. He is also the breakfast host at HOT 96.
He was born in 7th January 1966 in Kiambaa Village Kenya. His father, Fredrick Mbiyu Koinange, a son of late chief Mbiyu Koinange.
Education
Secondary school : Hospital hill – ‘O’ levels
St. mary’s – ‘A’ levels
1989- 1991: Undergraduate student at New York University, Phi Theta Kappa, BA, Broadcast Journalism
1987- 1989: Student at Kingsborough Community College in Brooklyn, NY, Associates of Applied Science with HONORS, Broadcast Technology and Management
Jeff Koinange wealth
He is a wealth man and money is not problem. he has been earning a 7 digit salary for many years.
JEFF KOINANGE SALARY
He earns around ksh 2million per month. He is the highest paid TV presenter in kenya currently.
The arrival of Jeff Koinange at Royal Media Services (RMS) has begun to exert pressure on Citizen TV, which is now facing a fallout among some of its best presenters.
It is understood that Jeff Konainge’s pay package – figured at Ksh2 million per month for the next two years – has caused disquiet among senior TV presenters who feel short-changed and ‘mocked’ by the media house. Mr Koinange’s salary is, in fact, equivalent to about what six presenters take home in salary and aspires to rival that of the company’s CEO, Waruru Wachira.
Jeff Koinange's Journalistic career
He worked with ABC,NBC and Reuters.
In 1998,he was Reuters' West Africa Chief
CNN
Included among the more significant stories Koinange has covered for CNN in Africa were the crisis in Darfur, the civil wars in Liberia and Sierra Leone and the famine in Niger, for which Koinange won an Emmy award.
In 2007, shortly after Niger Delta report, Marianne Brines a swiss, claimed that she had affair with him.
He left CNN [It is beliee to be one of the reasons why he left.

Jeff Koinange net worth
he is worth around ksh 50 billion according to Forbes 2017.

Jeff Koinange book – Through My african eyes
“Through My African Eyes!” is a concise narrative covering some of the major players in 20th century African politics. The book is rich with insights into the personal and intellectual underpinnings of many historical events in Africa.
Chronicles of some pretty interesting Africans from warlords, soldiers, victims and politicians lend insight into Jeff’s celebrated journalistic style.
Nipeni source ya Forbes inayoonyesha ana worth $50 bln
 
Mungu anatulaani sana waafrika, Jeff yuko poa sana na ana maisha mazuri tu, all in all ana inspire a lot of people, pia najifunza watu wana negative attitude ya kazi without any reason, ofcoz Jeff ana maboss wake lakini kama anavuta mpunga mkubwa na anaishi maisha ambayo wengi wa napenda what wrong with it,
Mkuu wewe umenena hasa..... Watu wengi ni wajinga though I am not concerned
Inasikitisha sana kuona watu wakirushiana maneno ya kebehi na kejeli kisa ukenya na utanzania badala ya kujadili kipi wamejifunza kupitia hii habari.

Kwamba Jeff anapesa au hana, sio tija sana lakini hauwezi kusema jamaa ni masikini, inategemea unautafsiri vipi umaskini.

Tujifunze kuwa watu wenye mawazo chanya na kutia moyo.

Bora hata mtu angeeleza yeye binafsi amepitia changamoto gani na anapitia vikwazo gani kuliko kurusha maneno yakukatisha tamaa bila ushahidi wowote.

Vyovyote itakavyokua, kuna mambo ya kujifunza kwenye hii clip.
 
Any idiot can say that! If he worth that he wouldn't be employed at the Citizen!
Plus he has a nice house in kitisuru, a very leafy suburb by the way with a few machines at his parking lot, so anybody saying ati anajipanga is clearly dellusional and stupid, unless he is worth more than him
 
I said Diamond can employ him!
 
Mengi Ni mkarimu hana makuu Mtoaji sana na mpiganaji sana pamoja na hayo yote mzee anapesa ndefu sana yaweza kua zaidi ya $550M ...
Uyo mtangazaji kwa nilivyomsoma sio mtu mkurupukaji lakini kajionea mwenyewe vile Matajiri halisi wanavyoishi hatakaa hasahau
 
Hes interviewed alot more anyway, unaimake asound ni kama mengi is the first billionaire hes talked to
 
Back
Top Bottom